The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wewe vipi wewe yn kampuni isilipe kodi alafu tukae kmy, yani unasema bila woga kabisa eti ni private affairs, mkuu hivi unaelewa unachokiongea hapa?Acheni kuongea private affairs za watu huku ongeleeni maendeleo.Hayo ya kodi waachieni TRA wenyewe