Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yote Fedha za mradi wa BRT Phase 3 and 4 hela zilishatoka...ila naona wanafanya mambo slow sana sijui hata kama tenda washatangaza za phase 4

Mm ndio nashindwa aisee mambo yanaenda polepole kweli angalau phase 3 ingekuwa imeeanzaa huwezi labda wanatafuta pesa za interchanges kwasababu kwa fedha zilizotolewa ukijumuisha na interchange yatakayojengwa haitoshelezi expecially hii phase 4
 
Kuna 2 types of BRT Buses Tanzania.
1. Ina doors in 1 side.
2. Ina doors in 2 sides.

Hii yenye two side doors iliwekwa kwa malengo maalamu.

Side moja, door is elevated, while the other side door is not elevated.

The reason, ni kuwa Tanzania tuliona mbali sana.
Driving in Tz we keep left, ila BRT stations zipo right na elevated. It means, inatumika the right side elevated doors.

Ikitokea, kama ambavyo inafanyika sasa routes mpya ya Morocco - Mwenge ambayo BRT lanes are under construction BRT Buses zinatumia njia ya kawaida, ina maanisha vituo vipo on the left side na siyo elevated. Meaning watu watatumia the left side doors.

GET IT??
Umempa shule nzuri sana huyo kama hataelewa aje ajionee jinsi brt ilivyo kuliko kuiona kwenye videos tuu. Tena akija atajifunza mengi tuu na kuona catenary system za sgr na modern bus stations zilivyo na kama ataongeza siku za kukaa tumualike Simba day aone jinsi a modern footbal stadium unavyokaa sio kuangalia kwenye TV tuu.
 
nadhani ni ile ya nyerere ndo hela yake ipo tayar.. huku mwenge morocco bado
Cheki hapa Simon
Screenshot_20210905-192541_Chrome.jpg
Screenshot_20210905-192531_Chrome.jpg
 
Mm ndio nashindwa aisee mambo yanaenda polepole kweli angalau phase 3 ingekuwa imeeanzaa huwezi labda wanatafuta pesa za interchanges kwasababu kwa fedha zilizotolewa ukijumuisha na interchange yatakayojengwa haitoshelezi expecially hii phase 4
Yeah labda uniambie phase 4 ila by now tungetegemea phase 3 kuanza .
plan ilikuwa by 2030 hadi phase 6 iwe imeisha and running lakini it seems Mwaka huo tutakua ndo tunaanza phase 5 labda
 
How waweke six lanes wakati wametoka kujenga lami mpya soon na taa washaweka pembeni
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
 
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
Barabara ipi hyo wanayotaka kuipanua tena.
 
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
Hio itakuwa ngumu mzee baba ndo kwanza kipande cha mwenge kimetoka kujengwa ..wangekijenga kabisa ki six lanes sawa..ila naona washahenga four lanes na wameweka Na taa na system ya sewage nzuri..unategemea vibomolewe waweke upya...

labda uniambie wabane space ya kati kati itosheleze which sidhan kama itakuwa hvyo...

Hiii itaahitaji interchange pale Mwenge na Flyover morroco ili kurahisisha kupishana..ila Six lanes sioni..hata Mbagala brt ni 4 lanes bado

Wanaamini BrT itafanya normal traffic ipungue

anyways we are on road to Mega City so by 2025 we should start thinking of Elevated Light Railway
 
Nmesema kuanzia mwenge mpaka tegeta sio moroko,
 
Ishu ni funds ...serikali ime base kutumia loans kwenye ku develop BRT systems..tukitaka Extra lanes lazima budget iongezewe zaidii...kiukweli itakuwa poa ila sioni ikifanyika...wangeza na mbagala maana ..hyo ina magari mengi sana

Inafaa tujipinde aisee hvi 4lanes havitoshelezi kabisa alafu kwa kasi ya Dar inavyokua baada ya miaka mitano tuaanza upya tena kuifumua rodi
 
Back
Top Bottom