Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,900
- 103,770
Magomeni quarters
You are helping your fellow countryman to portray stupidity of the highest order, kwa hile bus yule mjinga alipost did you see the doors on both sides.?Wewe ndio mpumbavu ungekuwa na busara ungeficha ujinga wako. Brt buses have doors on both sides of the bus. Njoo tz usafishe macho kidogo.
I know you're pained for seeing Mombasa having better marked and cleaned roads kuliko Dar is slum, alafu unaongelea sidewalks in Mombasa wakati Tanzania hamna barabara ya sidewalks hata moja😂😂🤣🤣Toa uchafu wako apa ...hata tu kuweka side work mbili ilishindikana.peleka mafii uko
Binafsi hua simuelewi huyu muhindi, hanaga impact yoyote katika maisha ya watu zaidi ya low quality products na unyonyaji anaoufanya kwa wafanyakazi wake. Halafu hua sio mbunifu kabsa anapenda kucopy idea za watu sitashangaaa kumuona anaanzisha tv yake ilitu amkomoe Bakhresa.Hata wakiweka vi figure vyao vya forbes cjui vya matakataka gn lkn hakuna kama Bakhressa, weee wacha kabisa na tuiue hii mada cz ni kukosa heshima kabisa mkuu.
Wacheni upumbavu kila mtu ana haki yake ya kuwekeza nyie fanyeni support huko mlipo! kwahiyo Bakhresa hakumuiga Mengi alipoanzisha biashara ya media?Binafsi hua simuelewi huyu muhindi, hanaga impact yoyote katika maisha ya watu zaidi ya low quality products na unyonyaji anaoufanya kwa wafanyakazi wake. Halafu hua sio mbunifu kabsa anapenda kucopy idea za watu sitashangaaa kumuona anaanzisha tv yake ilitu amkomoe Bakhresa.
Roho mby tu na wivu wa kike, haya now you need it iko wapi ssBy that time we didn't need it, now we need it. Ni Nini huelewi hapo?





Roho mby tu na wivu wa kike, haya now you need it iko wapi ss![]()





Siku kadhaa baada ya madude ya spain kufika na washajua hayatoshelezi tuongeze BRT? Jamaa Tz huwa inamuumiza sana, huyu alikuwa haijui vzr Tz, kupitia JF ameijua ndiyo unaona tabu anazopata, yn hakuna mkunya anayeumizwa na maendeleo ya Tanzania kama huyu, amebaki kujivunia GDP ushuzi tu, tuki rebase uchumi wetu ataondoka humu kwa wivu we ngoja uoneBaadhi ya maneno ya mapesa kuhusu BRT.
“WE WILL GO THE RAILWAY”
Siku kadhaa baada ya madude ya spain kufika na washajua hayatoshelezi tuongeze BRT?
Noma sana.







By that time we didn't need it, now we need it. Ni Nini huelewi hapo?












Ndio hii hapa inajengwa.Roho mby tu na wivu wa kike, haya now you need it iko wapi ss![]()
The best 007 waiting fo GDP ya Tanzania kupita ya Kenya 🤣🤣😂👇👇👇Jamaa Tz huwa inamuumiza sana, huyu alikuwa haijui vzr Tz, kupitia JF ameijua ndiyo unaona tabu anazopata, yn hakuna mkunya anayeumizwa na maendeleo ya Tanzania kama huyu, amebaki kujivunia GDP ushuzi tu, tuki rebase uchumi wetu ataondoka humu kwa wivu we ngoja uone![]()
Mo anamuogopa hadi gharib tajiri alieanza kuchipuka juzi tu!Geza Ulole huwa anawalinganisha Bakhressa na Mo kiukweli hakuna uhalisia kabisa, Bakhressa kamuacha Mo mbali sana, kinachotokea ni kama ushuzi wa GDP kati ya Tz na Kenya, lkn on ground Bakhressa yupo sayari yake, Mo binafsi anamuogopa Bakhressa kama Kenya inavyoiogopa Tz.
Ugly brt on the worldBRT infrastructure coming to shape.
View attachment 1924004
View attachment 1924005
View attachment 1924006
View attachment 1924007
Kusema tu ukweli jf imefanya nijue Tanzania vizuri.Jamaa Tz huwa inamuumiza sana, huyu alikuwa haijui vzr Tz, kupitia JF ameijua ndiyo unaona tabu anazopata, yn hakuna mkunya anayeumizwa na maendeleo ya Tanzania kama huyu, amebaki kujivunia GDP ushuzi tu, tuki rebase uchumi wetu ataondoka humu kwa wivu we ngoja uone![]()
Those stations are better than those ugly booths you have in Dar is slum 😂😂🤣Ugly brt on the world
"Kenya is not portrayed well in the media. It is definitely the most developed country in East Africa and most of subsaharan Africa"
"I love Tanzania and Uganda but the infrastructure there cannot match Kenya's. Nairobi and Mombasa are more developed and modern than Cities in the other two countries. Paved roads everywhere".
Sio maneno yangu bali ya huyu mzungu. Si huwa mnasema mzungu hawezi danganya mkipost google images za kibera? 🤣 🤣