Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watasema ni Euro Truck Simulator 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mbwa huwa wanasema wao wanasafiri sn domestically kuliko sisi, sasa huwa najiuliza huwa wanaposema ivyo wanamaanisha kupaa na ungo au?[emoji3][emoji3]

Wakunya hayo ni mabasi ya Abood yanaenda hapo tu Morogoro, yani kilometa chache kutoka Dar unaenda hata na bodaboda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mjinga mmoja nilibishana nae sana kuwa Elimu ya Kenya inamapungufu ndio waana hawana Mainjinia wengi kama Tanzania, na hao wachache hawana ubora kutokana na mfumo wao Elimu, pia wana maeneo machache ya kujifunzia kwa vitendo.

Hili Jengo lililobomoka ndio kwanza linajengwa, na ukiangalia Mazingira hakuna hata taratibu za kiusalama wala Kinjinia zimefatwa, angalia, mbao, madirisha na hata wavu kwa ajili ya usalama ulivowekwa.

Tanzania huwezi kukuta upuuzi na utani kama huu...
Wakenya wenye elimu kidogo wote wamesoma arts hakuna science ndio maana wezi, Kenya elimu ni kujua kingereza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mjinga mmoja nilibishana nae sana kuwa Elimu ya Kenya inamapungufu ndio waana hawana Mainjinia wengi kama Tanzania, na hao wachache hawana ubora kutokana na mfumo wao Elimu, pia wana maeneo machache ya kujifunzia kwa vitendo.

Hili Jengo lililobomoka ndio kwanza linajengwa, na ukiangalia Mazingira hakuna hata taratibu za kiusalama wala Kinjinia zimefatwa, angalia, mbao, madirisha na hata wavu kwa ajili ya usalama ulivowekwa.

Tanzania huwezi kukuta upuuzi na utani kama huu...
Kunyaland ukiongea kiingereza tu ushakua msomi
 
E-WbwQzX0AAQGox
 
Nikisema Kenya ni Mavi mnasema nawatukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu mna roho mbaya, kuna scraper imeanguka Kenya na hamsemi[emoji57]
Tushazoea mbn haipiti mwezi bila scraper kuanguka, yn lazima utasikia ghorofa la udongo limeanguka au dege la 70s limeanguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23]magofu
hawa jamaa tokea mda nishawaona ni janja janja.. hawaishi uhalisia wa gdp yao na wako chini ya standard maeneo mengi
bandugu mnapashikilia cbd tu kuna kawe,morocco,mikocheni,ilala,upanga mbn kote kumeendelea na hanpapost muwaoneshe nyangau hawa?
 
Acha upumbavu wewe,Kwa Nchi za kiafrika Muelekeo wa Rais ndio ndio ushawishi wa wawekezaji,sasa kenge kama wewe unaweza tangaza utalii kwa ushawishi gani ulionao?

Saizi Rais Samia yuko top 5 ya most influential African Women sasa watu watapay attention kwake au kwa Zuchu au wewe?

Kukaa Chamwino ndio kunaleta pesa na maendeleo? Yule Aliyekuwa anazunguka na maconyoy na misururu ya magari mara Chato mara Dom mara Dar alileta nini cha maana zaidi ya kuua Uchumi?
Naona wapumbavu wawili mnagombana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom