Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa real estate.

13901775_20170704074952urkosanchezarchtudorapartmentsheaderjpg1_jpegebdd25391934ed7632aee8dfe...jpeg

13439693_13122458screenshot20201202204509jpeg960fa3878ca3323b8c72ae1a744e86cf_jpeg_jpeg7646b6...jpeg

13439650_13211270y1jpeg6fa0d10aca0839c814a3e07b87b12c9f_jpeg_jpegcfc0fde4bf16ee216dbecb632d33...jpeg
 
Sisi tunasafiri kwa mabasi kwani ujui tanzania ni nzuri sana ukisafiri kwa basi au gari una enjoy life safi ya nchi yetu
Kweli kabisa mkuu, kama mimi napenda sana adventure. Kama sio kwamba nawahi kikao, siwezi kwenda Moshi kwa ndege niache adventure ya road na ndio maana tukaletewa sgr ya umeme na reli zina unganishwa kwa kuchomelewa for both sgr + mgr kwakuwa tunajua tunachokipenda. Wngetuletea swaga za kenya kwenye sgr wangechemka balaa
 
Kuna watu humu uwa wanalalamika mama anazurura tu,vitu kama hivi awavioni!
Kazi ya ku-market tourism aachie wengine anapaswa kuwa Chamwino aki-strategise way forward kwa mustakaabali wa nchi mfano janga la corona na miradi! aache upuuzi huu! BTW media group ya familia yake ndo ipo behind icho anachofanya! Angalia gharama za msusuru wa magari kwenda kupiga video za Utalii! Haiiingii akilini! BTW unajua maana ya kuvaa ushungi kwa nchi za Kimagharibi? Marketing gani anaenda kufanya kuvutia watalii toka huko? Labda wa Uarabuni na Afghanistan!
 
Picha ndio limeeanza kwako naona
 
Hehehe! Mbuzi ni mamako..
Angalia hata mabalozi wameshindwa kuishi kwenu...yaani huwa mumekwama vibaya mno, uchumi wetu sasa hivi unawapiga double double

2906380_1630341169373.png
Sasa kama huku wamekosa slaves wa kuwalamba matako wasubiri nini, si bora waende sehemu wanaposujudiwa kama miungu
 
😆😆😆 kama unadai kenya hakuna chochote, mbona basi tunawazidi gdp ×2, na sisi ni 3rd kanda wa sub saharan.??....... aah?.. jibu

uchumi wa kenya ni mpana sana yani diverse sana.. hatutegemei kitu kimoja msela. Service Sector incdg (Tourism, Banking and Finance, Telecommunication, Real Estate, Ports and Maritime, Aviation and Airtravel, Construction Industry, iTech and Innovation, Commerce, Human Resource, etc.) ina contribute 62% ya uchumi wetu, Agriculture ina contribute 24%, Manufacturing and Industries ina contribute 19%.
alafu eti in tz, Agriculture ina contribute 55%, na Uganda Agriculture ni 70%.
yani tz and ug, a real characteristics of a 3rd world, least developed economies, poleni
hapa ulipigia mbuzi guitar!., zombies hazipati picha kamwe 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom