Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watapata tabu sana .....zamani wakenya waliokuwa wanakuja huku tz dar es salaam walikuwa hawarudi kwao mfano MK254 alitelekeza mke na watoto kenya na kujificha tanzania ,wakenya walikuwa wanadhani sababu ni wanawake warembo watz tu kumbe mkenya yoyote akija tz ni kama kaingia peponi,
Pia watz tulikuwa tunadhani wakenya ni wachoyo sana kwa sababu wakija tz sisi tuna wakaribisha hadi majumbani kwetu ila tukienda kwao kenya wanakukimbia hawataki ujue wapi wanaishi wakati huo tulikuwa hatujui kuwa hawa viumbe wanaishi kwa slum nairobi basi tukawa tunawaona wabinafsi na wachoyo kumbe sababu ilikuwa wanaona aibu kutupeleka slum kwao ila ukiangalia ukweli hata mimi au sisi watz tungekuwa na slum tusinge weza peleka mtu kwa slum ,tunge mchenga chenga mpaka achoke ila home asingepajua
Ukiona Mtanzania anongea hivi, jua hajawai toka kijijini alimozaliwa. Yani kila Mtanzania humu hujishabikia jinsi alivyotembea ila ukiskiza hoja zake utacheka tu maana ni za mtu asiye na experience beyond kijiji chake cha kuzaliwa. 🤣 🤣
 
ubaya wenu mnapenda kujidanganya sana, venye tu huwa mnapenda kuokota picha za kenya za kitambo is the same thing you are doing here. I promise you that Lagos is far much ahead of Dar.
Sawa tumepokea malalamiko yako tupo kwenye mchakato tutayafanyia kazi.
 
Hehehehe alafu bado wanataka kulinganisha the mighty Nairobi na a fishing village
Kitu ambacho Wakenya mlituzidi ni kimoja tu, kujitangaza, na sisi tulikuwa hatujitangazi kwasababu ya kuwa uongozi wa kipuuzi miaka ya nyuma, ulikuwa umejiegesha kwenye kupiga tu so hawakutaka mambo ya humu yajulikane, but the mighty JPM alikataa huo upumbavu na ndiyo ukaona Tz ikafunika Kenya kwa kujulikana from 6 yrs ago up to date, alianzisha miradi mikubwa iliyovunja rekodi ya East and Central Africa na pia uthubutu wake wa kuwajibisha viongozi ukapelekea Watz kujitambua na kufahamu kwamba walikuwa wanapigwa, na pia jinsi Magu alivyo deal na rafiki wanafki kama Wakenya ikapelekea leo hii Watz kutokuwa na upendo wa kipuuzi wa nipige shavu hili nikugeuzie lingine, hapo ndipo Wakenya mkamchukia lkn Watz tukajua ku deal na rafiki washenzi kama Wakenya na hapo ndipo tukaanza kufatilia maisha ya jirani zetu ndipo tukagundua kuwa kumbe nchi zote za Afrika mashariki na kati hakuna nchi inayotukaribia kwa maisha bora na uzuri wa nchi.
 
Cooperative bank HQ completed in 1981

87B636E7-6363-4DE1-B12C-90D11CF76AA4.jpeg

CEBA39AE-B33E-4833-83CF-B268E60B0369.jpeg

BFEF6A4E-2BFF-45EB-9E83-C5538772C441.jpeg

072CBC66-63AD-4CD2-93D8-CAD721B85597.jpeg
 
Kitu ambacho Wakenya mlituzidi ni kimoja tu, kujitangaza, na sisi tulikuwa hatujitangazi kwasababu ya kuwa uongozi wa kipuuzi miaka ya nyuma, ulikuwa umejiegesha kwenye kupiga tu so hawakutaka mambo ya humu yajulikane, but the mighty JPM alikataa huo upumbavu na ndiyo ukaona Tz ikafunika Kenya kwa kujulikana from 6 yrs ago up to date, alianzisha miradi mikubwa iliyovunja rekodi ya East and Central Africa na pia uthubutu wake wa kuwajibisha viongozi ukapelekea Watz kujitambua na kufahamu kwamba walikuwa wanapigwa, na pia jinsi Magu alivyo deal na rafiki wanafki kama Wakenya ikapelekea leo hii Watz kutokuwa na upendo wa kipuuzi wa nipige shavu hili nikugeuzie lingine, hapo ndipo Wakenya mkamchukia lkn Watz tukajua ku deal na rafiki washenzi kama Wakenya na hapo ndipo tukaanza kufatilia maisha ya jirani zetu ndipo tukagundua kuwa kumbe nchi zote za Afrika mashariki na kati hakuna nchi inayotukaribia kwa maisha bora na uzuri wa nchi.
Maisha bora ya kutoa mazeru kafara, polisi kuzingua raia hadi raia anawapiga risasi kwa kuchoshwa, wapinzani kuwa roho juu juu wasiuliwe... Nk nk nk!??? Bado maisha bora? 😂 😂 😂 😂
 
Kitu ambacho Wakenya mlituzidi ni kimoja tu, kujitangaza, na sisi tulikuwa hatujitangazi kwasababu ya kuwa uongozi wa kipuuzi miaka ya nyuma, ulikuwa umejiegesha kwenye kupiga tu so hawakutaka mambo ya humu yajulikane, but the mighty JPM alikataa huo upumbavu na ndiyo ukaona Tz ikafunika Kenya kwa kujulikana from 6 yrs ago up to date, alianzisha miradi mikubwa iliyovunja rekodi ya East and Central Africa na pia uthubutu wake wa kuwajibisha viongozi ukapelekea Watz kujitambua na kufahamu kwamba walikuwa wanapigwa, na pia jinsi Magu alivyo deal na rafiki wanafki kama Wakenya ikapelekea leo hii Watz kutokuwa na upendo wa kipuuzi wa nipige shavu hili nikugeuzie lingine, hapo ndipo Wakenya mkamchukia lkn Watz tukajua ku deal na rafiki washenzi kama Wakenya na hapo ndipo tukaanza kufatilia maisha ya jirani zetu ndipo tukagundua kuwa kumbe nchi zote za Afrika mashariki na kati hakuna nchi inayotukaribia kwa maisha bora na uzuri wa nchi.
I have no time reading long comments.
 
Hapo ni bumper kwa bumper! I wish to see mvua ikinyesha panakuwaje!
Ni noma.

Hizi Truck za Benz niliwahi kuonana nazo uso kwa uso miaka kama 22 iliyopita. Hivi Vikenya hapa vipnapiga tu kelele ndio maana huwa siongei navyo kwakua hawana wanachujua zaidi ya kuokoteza vidata uchwara toka mitandaoni.

Statistically, Nigeria na Kenya ni mabonge ya nchi but empirically, hizi ni nchi ambazo hata Mbwa na Paka wanajuta kujikuta wanaishi huko.

Nigeria, kuna makelele ya generators balaa, kila kona kila mtu ni generator, hali ya maisha, chakula, usafiri, kila kitu ni shida mno. Wapo wajinga wajinga wa Kikenya na takwimu zao uchwara kuhusu Senegal, nchi ambayo ndani ya mji wake mkubwa, katikati, watu bado wanaingia na magari ya kukokotwa na Farasi.

Dakar, Senegal. Senegal capital struggles to control horse-drawn carts
20170307_150458-1.jpg

Dakar Usafiri kama Kenya tu!​

west-afrika-senegal-dakar-opnv-b9887d.jpg
 
MY TAKE
Inakaa kuna kitu hakijakaa sawa wizara ya Kilimo, wiki iliyopita Bashe alikuwa analalamika kuhusu tozo la dengu Shinyanga leo Waziri analalamika! Inakaa middle men wamerudi na mama kama anasita kutoa msimamo! Hii haileti picha nzuri kuacha wasimamizi wa wizara yako wakilalamika dhidi ya lobbying na influence ya middle men! Inakaa hii Wizara Waziri na Naibu Waziri hawatadumu!

Aisee, hii sasa hatari kama prof naye anasema ataachia ngazi, maana hata Bashe majuzi alisema hivyo hivo.
 
Back
Top Bottom