ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hii nchi sijui nani alilaani😳😳😳😳
Hii ndio three level 😂😂😂😂 mlirogwa na nani nyinyiChangamwe 3-level interchange. Tanzania iko na 3-level interchange moja, Kenya iko na sita.
View attachment 1919004
View attachment 1919005
Naomba tucheke wote kwa pamoja 😂😂😂Mombasa, the third most developed city in East Africa after Nairobi and Addis Ababa.
View attachment 1919031
View attachment 1919032
View attachment 1919033
View attachment 1919034
Source mama ngina 😀😀😀😀Hehehe is here is the construction report 2021, Tanzania is nowhere to be seen 😂😂👇
View attachment 1919865
Unafikiri IMF na World Bank wanaundugu na wewe huwa wanawaacha mjikaange na mafuta yenu kwanza ili wapate mlango wa kuingilia ukishajimaliza kiuchumi ndio utawatambua vizuri. Pia kama wao ndio wanaregulate gdp mbona walisema kenyan shillings is overvalued by 30% na hakuna kilichorekebishwa na serikali?gdp is only watched and regulated by IMF and World Bank my brother. hauwezi set exam, kisha ujisahihishie jameni
Yet Kenya's entertainment industry value is way bigger than ya Tanzania 😂😂😂Mataifa yenye ushawishi Africa kwenye entertainment naona ni
Tanzania
Nigeria
SA
Ghana
Hakuna mahali slum dwellers hata mmoja katajwa hapa 😅😅
![]()
Mastaa 10 Bongo watajwa kuwania tuzo za Africa Choice Nigeria - Simulizi na Sauti (SnS)
Misimu wa 3 wa tuzo za Africa Choice umefunguliwa na sasa kura zimeanza kupigwa rasmi ambapo jumla ya vipengele 32 kuwaniwa. Kwenye msimu huu wa tatu wa tuzo hizo, Tanzania tunawakilishwa na Hamisa Mobetto, Wema Sepetu, Irene Uwoya, Idris Sultan, Diamond Platnumz, Gabo, Millard Ayo, Dj...sns.co.tz
Wewe mambo yako tulishaana nayo kitambo sana, we don't engage idiots here.Hii ndio three level 😂😂😂😂 mlirogwa na nani nyinyi
Hebu nipe tofaut hii na pangani leo nifunge acc hapa 😂😂😂😂
wahhHili jengo huwa sipendi shape yake kumbe la enzi za mkoloni ndiyo maana![]()
sijui nyote huwa mna same level of thinking... yaani watanzania hapa ndo mpo hata kwa kufikiria jameniNdio maana Dar buildings are much modern than Nairobi buildings maana mengi ni ya kisasa asa hilo utafananisha na la CRDB?
This is the reason why our sgr is amazing and incomparable...
As usual data from Presidential Delivery BureauUnatetea ujinga, acha nikuambie kitu GDP yetu imefanya.
Tarmacked roads
Kenya 21,000km
Tanzania 9,000km
Electricity connectivity
Kenya 70%
Tanzania 37%
People connected to electricity
Kenya 8.5M
Tanzania 2.7M
Total health centers
Kenya 13,000
Tanzania 8,000
Total number of schools.
Kenya 80,000
Tanzania 42,000
Ports
Mombasa 22 berths
Dar is slum 7 berths

Hiyo sampling haiku involve Tanzania. With construction of jnhpp, and sgr alone could make Tanzania on the top listHehehe is here is the construction report 2021, Tanzania is nowhere to be seen
View attachment 1919865