Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivo ya kurithi Sio madeni ama? The point is ATCL Ina madeni kubwa na yanazidi kuongezeka. Kubalini mlikurupuka. Sahii mnayo Ndege Aina ya 787 inafanya internal routes, ufala kama Huo ndio unaomuulia shirika.
Internal route kama inajaa na kulipa wewe inakuuma nini?
 
Post lender na output ya project pamoja
less wee ni kipofu, mi sioni tofauti yeyote!
mombasa11.jpg
mombasa16.jpg
 
the 2nd richest Square Mile (1Ml^2) in sub-saharan africa only after joburg View attachment 1919428
Richest Square Mile from what?

Largest Kenyas foreign reserves are from remittances and selling other peoples tea

Ukiondoa soko la chai la kanda, kenya mnazalisha nini cha export?

Serikali yenu iwashukuru mazezeta ya kikenya yanayopigwa kodi kubwa kwenye airtime na umeme, these are the only mega domestic revenue channels hakuna kingine!

Kenya without overtaxing slum dwellers it gonna collapse dipper in no time!
 
Richest Square Mile from what?

Largest Kenyas foreign reserves are from remittances and selling other peoples tea

Ukiondoa soko la chai la kanda, kenya mnazalisha nini cha export?

Serikali yenu iwashukuru mazezeta ya kikenya yanayopigwa kodi kubwa kwenye airtime na umeme, these are the only mega domestic revenue channels hakuna kingine!

Kenya without overtaxing slum dwellers it gonna collapse dipper in no time!
😆😆😆 kama unadai kenya hakuna chochote, mbona basi tunawazidi gdp ×2, na sisi ni 3rd kanda huu wa sub saharan.??....... aah?.. jibu

uchumi wa kenya ni mpana sana yani diverse sana.. hatutegemei kitu kimoja msela. Service Sector incdg (Tourism, Banking and Finance, Telecommunication, Real Estate, Ports and Maritime, Aviation and Airtravel, Construction Industry, iTech and Innovation, Commerce, etc.) ina contribute 62% ya uchumi wetu, Agriculture ina contribute 24%, Manufacturing and Industries ina contribute 19%.
alafu eti in tz, Agriculture ina contribute 55%, na Uganda Agriculture ni 70%.
yani tz and ug, a real characteristics of a 3rd world, least developed economies, poleni
 
😆😆😆 kama unadai kenya hakuna chochote, mbona basi tunawazidi gdp ×2, na sisi ni 3rd kanda wa sub saharan.??....... aah?.. jibu
GDP ni upuuzi mtupu wa beberu

Niambie export yenu 1 kubwa kuliko zote nikuoneshe kitu!
 
Kwa hivo ya kurithi Sio madeni ama? The point is ATCL Ina madeni kubwa na yanazidi kuongezeka. Kubalini mlikurupuka. Sahii mnayo Ndege Aina ya 787 inafanya internal routes, ufala kama Huo ndio unaomuulia shirika.
787 are utilized international routes moja ni huwa mumbai nyingne guangzhou..tutavyoongeza routes .na zenyewe zitatumika zai
Screenshot_20210901-140705_Flightradar24.jpg
 
please hebu fanya utafiti, gani expensive between one brt station and one interchange. ukipata jibu, njoo tujadiliane View attachment 1918801 yani.. (ksh1.3BxTsh21=??) do the math dude..
Kwa hiyo hesabu toa pesa ya ukoo wa kenyatta toa pesa ya kabila la kikuyu toa pesa ya mafisadi toa pesa ya jubilee utapata ksh600milxTsh21= ??
 
787 are utilized international routes moja ni huwa mumbai nyingne guangzhou..tutavyoongeza routes .na zenyewe zitatumika zai
View attachment 1919502
Ila tunavyoenda tunahitaji at least 7 Dreamliners maana mbali na Guangzhou, Thailand na Mumbai, kuna route ya london in planing! Sasa zikianza daily routes kwa kila destination zinahitajika mbili ukiacha a standby plane!
 
Barakoa alishatelekeza?
Mataga ni wapumbavu Sana mnahangaika sana na vitu vya kijinga.

Kama hao wote wamechanja kuna haja gani ya barakoa?

Miezi 3 vituo vya afya 220,,Weka rekodi kama hii ilifanywa na mume wenu mwendazake.

Upumbavu wa watoto kukaa chini Kisa madawati,kulundikana madarasani nk vyote hivyo mama kavikomesha~Onyesha rekodi kama hii ya mume wenu mwendazake.

Mazao yote aliyoua bwana wenu yote yamerudi sokoni kuanzia pamba,dengu,korosho,tumbaku,ufuta,mbaazi na mahindi.Hadi sasa Wakenya wanalia Lia tumeua soko lao la mahindi.


Technically Magu hakua na akili kabisa ila alikuwa mnyapala alifaa kuwa magereza sio Rais ndio maana kajifia mapema.
 
Ila tunavyoenda tunahitaji at least 7 Dreamliners maana mbali na Guangzhou, Thailand na Mumbai, kuna route ya london in planing! Sasa zikianza daily routes kwa kila destination zinahitajika mbili ukiacha a standby plane!
Na hizo hasara za karibu bil.500 kwako unaona sawa? Kwanza inashangaza kuona ATcl kampuni ya serikali haina ndege eti inakodi Serikalini.
 
Alikua anangaika pekeyake hakupata sapport ambayo ingesaidia mradi kuanza...mpka alipo ingia yeye mwenyew ikulu
Achaga ujinga huo mradi ni zawadi ya Wakorea kama vile malagarasi bridge kwa JK kwa kuwaunga mkono kwenye UN.

Serikali inatoa asilimia 20% tuu ya gharama, zingine ni grant kutoka Korea Kusini.
 

Jakaya Kikwete’s Handwritten Letter to President Museveni trends online​


Marc Nkwame
August 29, 2021
Former Tanzanian Head of State scribbles a letter by hand, like the good old day
By
Marc Nkwame
-


In this digital age, it is not always that one comes across a handwritten note.

It is also quite difficult to seen one scribed neatly.

Or a note from a former Head of State for that matter…

…To a sitting president.

PicsArt_08-29-06.14.34-1024x780.jpg


Which explains why the scribbled letter of appreciation from the former Tanzanian President, Jakaya Mrisho Kikwete, to the Ugandan Head of State, Yoweri Kaguta Museveni is such a sensation on social media platforms.

It was Museveni who shared the letter on his Twitter handler and it is now making rounds online like crazy.

Jakaya Kikwete, who led Tanzania from 2005 to 2015, expressed gratitude to President Museveni for being quite helpful in sharing his expertise in Agriculture.

20210829_172407-1024x780.jpg


To which the Ugandan leader replied;

‘My brother HE Jakaya Mrisho Kikwete, thank you so much for this wonderful message. I appreciate and wish you and your team success in the forthcoming Africa Green Revolution Forum 2021.’


kikwete-1.jpg


Kikwete, had travelled to Kampala last Thursday, August 26 when he paid courtesy call to the Ugandan President using the opportunity to invite Museveni to the African Green Revolution Forum (AGRF) Summit 2021, running from the 7th to the 10th of September 2021, in Nairobi, Kenya.


Hapa huwezi kuwaona mataga 😂😂
 
Back
Top Bottom