Ni noma.
Hizi Truck za Benz niliwahi kuonana nazo uso kwa uso miaka kama 22 iliyopita. Hivi Vikenya hapa vipnapiga tu kelele ndio maana huwa siongei navyo kwakua hawana wanachujua zaidi ya kuokoteza vidata uchwara toka mitandaoni.
Statistically, Nigeria na Kenya ni mabonge ya nchi but empirically, hizi ni nchi ambazo hata Mbwa na Paka wanajuta kujikuta wanaishi huko.
Nigeria, kuna makelele ya generators balaa, kila kona kila mtu ni generator, hali ya maisha, chakula, usafiri, kila kitu ni shida mno. Wapo wajinga wajinga wa Kikenya na takwimu zao uchwara kuhusu Senegal, nchi ambayo ndani ya mji wake mkubwa, katikati, watu bado wanaingia na magari ya kukokotwa na Farasi.
Dakar, Senegal.
Senegal capital struggles to control horse-drawn carts
View attachment 1917211
Dakar Usafiri kama Kenya tu!
View attachment 1917225