Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You have never been to any city in Nigeria. All big cities of East Africa are way much better than Lagos.

Lagos, where construction vehicles are transporting people from point A to B.

Ndio maana huwa sibishani na nyie, wengi wenu hamna exposure ya mambo. Mnaongea ongea tu hovyo.View attachment 1916468
Hapo ni bumper kwa bumper! I wish to see mvua ikinyesha panakuwaje!
 
Nakumbuka sana, kulikua hakuna watu arrogant kama wakenya towards Tanzania, walishabemendwa sana na wanasiasa wenzao kuhusu Tanzania

Kuna mkenya aliniambia kabla ya social media kumpa ukweli kuhusu Tanzania alikua anachukulia Tanzania kama Burundi hivi au Congo nchi fulani ya kiporipori mno,

anasema alikua anajua hamna mtanzania yeyote anaweza kutengeneza sentence 2 za kiingereza

Hakuna watanzania nchi za nje
Dah yaani hakuamini namna tulivyo kimya lakini tuna maisha mazuri kuwazidi,

Leo mambo yamebadilika social media zimewafungua akili japo wengi wao hizo akili hawana, naona saa hivi wanapeana vitasa wenyewe na Tanzania ndio wanaitumia kuchapana

Watapata tabu sana .....zamani wakenya waliokuwa wanakuja huku tz dar es salaam walikuwa hawarudi kwao mfano MK254 alitelekeza mke na watoto kenya na kujificha tanzania ,wakenya walikuwa wanadhani sababu ni wanawake warembo watz tu kumbe mkenya yoyote akija tz ni kama kaingia peponi,
Pia watz tulikuwa tunadhani wakenya ni wachoyo sana kwa sababu wakija tz sisi tuna wakaribisha hadi majumbani kwetu ila tukienda kwao kenya wanakukimbia hawataki ujue wapi wanaishi wakati huo tulikuwa hatujui kuwa hawa viumbe wanaishi kwa slum nairobi basi tukawa tunawaona wabinafsi na wachoyo kumbe sababu ilikuwa wanaona aibu kutupeleka slum kwao ila ukiangalia ukweli hata mimi au sisi watz tungekuwa na slum tusinge weza peleka mtu kwa slum ,tunge mchenga chenga mpaka achoke ila home asingepajua
 
MY TAKE
Inakaa kuna kitu hakijakaa sawa wizara ya Kilimo, wiki iliyopita Bashe alikuwa analalamika kuhusu tozo la dengu Shinyanga leo Waziri analalamika! Inakaa middle men wamerudi na mama kama anasita kutoa msimamo! Hii haileti picha nzuri kuacha wasimamizi wa wizara yako wakilalamika dhidi ya lobbying na influence ya middle men! Inakaa hii Wizara Waziri na Naibu Waziri hawatadumu!

Tozo na middlemen wapi na wapi? Bora middlemen warudi kuliko upuuzi wa stakabidhi gharani.

Rais hawezi shughulika na mambo ya dengu mwisho wa siku watasema Rais ashughulike na usafi wa barabara za mitaani kwao.
 
Huyo ancestor I think akili yake ishaoza. And he was just confident posting senseless things like that. Kama kutoka Dar mpaka morogoro pekee ya 200km ndio wametumia $1.2B, sijui how on earth he is expecting Kenya to construct a 1200km with $550M.
Dar Moro the rail mode is superior to Kenyan rail mode and it justifies the cost.
 
You have never been to any city in Nigeria. All big cities of East Africa are way much better than Lagos.

Lagos, where construction vehicles are transporting people from point A to B.

Ndio maana huwa sibishani na nyie, wengi wenu hamna exposure ya mambo. Mnaongea ongea tu hovyo.View attachment 1916468
ubaya wenu mnapenda kujidanganya sana, venye tu huwa mnapenda kuokota picha za kenya za kitambo is the same thing you are doing here. I promise you that Lagos is far much ahead of Dar.
 
Watapata tabu sana .....zamani wakenya waliokuwa wanakuja huku tz dar es salaam walikuwa hawarudi kwao mfano MK254 alitelekeza mke na watoto kenya na kujificha tanzania ,wakenya walikuwa wanadhani sababu ni wanawake warembo watz tu kumbe mkenya yoyote akija tz ni kama kaingia peponi,
Pia watz tulikuwa tunadhani wakenya ni wachoyo sana kwa sababu wakija tz sisi tuna wakaribisha hadi majumbani kwetu ila tukienda kwao kenya wanakukimbia hawataki ujue wapi wanaishi wakati huo tulikuwa hatujui kuwa hawa viumbe wanaishi kwa slum nairobi basi tukawa tunawaona wabinafsi na wachoyo kumbe sababu ilikuwa wanaona aibu kutupeleka slum kwao ila ukiangalia ukweli hata mimi au sisi watz tungekuwa na slum tusinge weza peleka mtu kwa slum ,tunge mchenga chenga mpaka achoke ila home asingepajua
kawaulize hawa mabalozi mbona hawaishi huko dar is slum

1630342146465.png
 
Waambie hao vinyang'arika hawaelewi, Nigeria hamna kitu mule, huduma za jamii kule Burundi inaafadhalii hapo ni umeme tuu maji na kwenye mahospitali uko ndio usigusee kabisaa
Ukishaona nchi raia wake wanaikimbia huku wakizurura zurura kwenye nchi zingine kwa wingi ujue kuna tatizo mahali
 
Watapata tabu sana .....zamani wakenya waliokuwa wanakuja huku tz dar es salaam walikuwa hawarudi kwao mfano MK254 alitelekeza mke na watoto kenya na kujificha tanzania ,wakenya walikuwa wanadhani sababu ni wanawake warembo watz tu kumbe mkenya yoyote akija tz ni kama kaingia peponi,
Pia watz tulikuwa tunadhani wakenya ni wachoyo sana kwa sababu wakija tz sisi tuna wakaribisha hadi majumbani kwetu ila tukienda kwao kenya wanakukimbia hawataki ujue wapi wanaishi wakati huo tulikuwa hatujui kuwa hawa viumbe wanaishi kwa slum nairobi basi tukawa tunawaona wabinafsi na wachoyo kumbe sababu ilikuwa wanaona aibu kutupeleka slum kwao ila ukiangalia ukweli hata mimi au sisi watz tungekuwa na slum tusinge weza peleka mtu kwa slum ,tunge mchenga chenga mpaka achoke ila home asingepajua
Ni kweli wakenya wengi wakija Tanzania hawataki kurudi kwao lakini hata waganda nao same same 😂😂😂

Back
Top Bottom