Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATCL imerithi madeni ya awali karibu billion 500, hayo ni madeni yapo toka ATCL ya Nyerere, usitafutie upenyo
Kwa hivo ya kurithi Sio madeni ama? The point is ATCL Ina madeni kubwa na yanazidi kuongezeka. Kubalini mlikurupuka. Sahii mnayo Ndege Aina ya 787 inafanya internal routes, ufala kama Huo ndio unaomuulia shirika.
 
Sisi tuliujumiwa na wazungu kuzuia bwawa la umeme kujengwa vingi tungekuwa vizuri sana kwenye umeme ila nigeria umeme unakatika ovyo ovyo majenereta mji mzima
Bado haiondoi ukweli kuwa connectivity in Nigeria is 56% while Tanzania is 37%😂😂😂
 
Kwa hivo ya kurithi Sio madeni ama? The point is ATCL Ina madeni kubwa na yanazidi kuongezeka. Kubalini mlikurupuka. Sahii mnayo Ndege Aina ya 787 inafanya internal routes, ufala kama Huo ndio unaomuulia shirika.
ATCL has more liabilities than assets😂😂😂. Did you know that of all the 9 planes they have 5 are grounded?😂😂😂
 
Kupata interchanges in Tanzania lazima uende Dar is slum where you will only find two. Kenya interchanges are everywhere, this is kituie- kibwezi interchange.

IMG_20210831_214544.jpg

IMG_20210831_214539.jpg
 
Back
Top Bottom