Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Nakumbuka sana, kulikua hakuna watu arrogant kama wakenya towards Tanzania, walishabemendwa sana na wanasiasa wenzao kuhusu TanzaniaNi kweli nchi za West Africa zilikuwa gizani baada ya wode maya kuzunguka africa na EA walistuka hata wanigeria sikuizi wameacha kabisa kujipiga kifua kuwa wao wapo vizuri siunaona wakenya walikuwa wanai underestimate dar es salaam sana hadi tulipo wafumbua macho hapa JF nakumbuka wakati uzi unaanzawa kenya walikuwa wanadhani ni mchezo nakumbuka walianza kupoteana humu hadi walikuwa wanaposti project za ulaya wakidai ni kenya wakashangaa watz tunaujua kenya kuliko wao maana kila walicho danganya watz tulikijua kabla ya wakenya wenzao kukijua ,[emoji1787][emoji1787]unakuta mkenya kapost project ya ulaya kuwa ni kenya wakenya wenzake wamempa like kama 20 arafu watz tuna mproof long
Kuna mkenya aliniambia kabla ya social media kumpa ukweli kuhusu Tanzania alikua anachukulia Tanzania kama Burundi hivi au Congo nchi fulani ya kiporipori mno, 😂😂😂
anasema alikua anajua hamna mtanzania yeyote anaweza kutengeneza sentence 2 za kiingereza 😅😅😅
Hakuna watanzania nchi za nje 😄
Dah yaani hakuamini namna tulivyo kimya lakini tuna maisha mazuri kuwazidi,
Leo mambo yamebadilika social media zimewafungua akili japo wengi wao hizo akili hawana, naona saa hivi wanapeana vitasa wenyewe na Tanzania ndio wanaitumia kuchapana 😅😅😅