Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Suala la public schools tulishafungaga mjadala

Ila sema la ukweli tuliona vituko toka upande wa pili!

Hii sio hotel

View attachment 1915897View attachment 1915899View attachment 1915900View attachment 1915902
Km hyo hoteli hii tuiiteje mzee
images.jpeg-24.jpg
images.jpeg-12.jpg
 
Unakimbia ukweli mchungu? Safari ya saa 7 mnapanda hivi vipanya wakati Tanzania safari ya saa 3 tunapanda luxury
Kenya watu wana choices, unaweza panda shuttle ambayo ni haraka zaidi mzee na wala hawana bugdha kitu ni express..
Acha ushamba wako hapa
 
From Mombasa to Malaba unajua ni km ngapi? that means yours from Dar to sijui wapi mmepigwa kipigo cha mbwa kama hiyo ndiyo average bei.., do a fact finding ya standard price for a KM of SGR in other countries across the globe kisha uje uchambue madai ya cartel Jimmy Wanjigi.., which world can someone build SGR from a distance ya even 400km (Mombasa - Nai) na Ksh55B!($550M).., ata iwe ile utasema ya lowest class.., jaribu kushirikisha ubongo when u read from "popliticians" the idiot wants to run for presidency eti.., political statements ain't facts., muulize aonyeshe any feasibility study they did to come up with 55B.., the journalist didn't do a thorough job in questioning his claims..,
Hyo ni mpuuzi, alafu siku jamaa linazeeka vibaya sana..ona sasa yamemkuta, copy paste noma sana
 
I know your blind and fool, so dont bother with any explanation...slum dweller
Naona umeanza kuandika kisengerenyuma, hapa hata ukijifanya tahira lazima niende na wewe hvo hvo ndio upate kuelewa
 
Hyo ni mpuuzi, alafu siku jamaa linazeeka vibaya sana..ona sasa yamemkuta, copy paste noma sana
Ujenzi umetofautiana changamoto za maeneo sehemu tambalale ni tofauti na zenye milima na mabonde
 



Jamaa wa madimbwi wamekuja mpaka na Lamborghini halafu Zenaco ikawainamisha na kuwagonga viwili! 🤷‍♂️ 🙆‍♂️ 🙆‍♂️
 
Another baboon typing to massage his big balls😂😂😂. When we move city by city between Nigeria and Tanzania I'm sure Nigeria will floor Tanzania instantly.

1.Lagos beats Dar in everything.
2.Abuja beats mwanza in everything.
3.Port Harcourt beats arusha in everything.

You have never been to any city in Nigeria. All big cities of East Africa are way much better than Lagos.

Lagos, where construction vehicles are transporting people from point A to B.

Ndio maana huwa sibishani na nyie, wengi wenu hamna exposure ya mambo. Mnaongea ongea tu hovyo.
oshodi-1024x700.jpg
 
Timu za kunyaland zitafikia level kama hii miaka 50 ijayo
 

Attachments

  • 10000000_4305753539516367_4597406248505163344_n.mp4
    17.4 MB
You have never been to any city in Nigeria. All big cities of East Africa are way much better than Lagos.

Lagos, where construction vehicles are transporting people from point A to B.

Ndio maana huwa sibishani na nyie, wengi wenu hamna exposure ya mambo. Mnaongea ongea tu hovyo.View attachment 1916468
you sick you dont know anything about lagos
 
Ni kweli nchi za West Africa zilikuwa gizani baada ya wode maya kuzunguka africa na EA walistuka hata wanigeria sikuizi wameacha kabisa kujipiga kifua kuwa wao wapo vizuri siunaona wakenya walikuwa wanai underestimate dar es salaam sana hadi tulipo wafumbua macho hapa JF nakumbuka wakati uzi unaanzawa kenya walikuwa wanadhani ni mchezo nakumbuka walianza kupoteana humu hadi walikuwa wanaposti project za ulaya wakidai ni kenya wakashangaa watz tunaujua kenya kuliko wao maana kila walicho danganya watz tulikijua kabla ya wakenya wenzao kukijua ,unakuta mkenya kapost project ya ulaya kuwa ni kenya wakenya wenzake wamempa like kama 20 arafu watz tuna mproof long
punguza madawa ya kulevya that way you will speak facts si utani
 
We kima sisi tunasafiri sana ndani ya nchi kuliko nchi zote africa kama kuna nchi zimetuzidi africa labda 1 au 2 na sidhani kama kuna nchi inatuzidi
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
You have never been to any city in Nigeria. All big cities of East Africa are way much better than Lagos.

Lagos, where construction vehicles are transporting people from point A to B.

Ndio maana huwa sibishani na nyie, wengi wenu hamna exposure ya mambo. Mnaongea ongea tu hovyo.View attachment 1916468
okada! 🙆‍♂️ 🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom