Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
If you look keenly utagundua many developed nations also do well in sports. .I think these are the reasons why Tanzania is poor in every sport.
If you look keenly utagundua many developed nations also do well in sports. .I think these are the reasons why Tanzania is poor in every sport.
That is the situation all over tz, name it mwanza, mbeya ushuzi ni ule ule.😂Kumbe hii Zanzibar hata Malindi inaishinda kwa ujenzi!
Hii nishaisave for future use😂😂😂
lengo ni nzuri sana .. ila upande mwingine inaonyesha jinsi alivyo mtalii
Hyo kule kwao ni city, hapo ndio cbd mzee babaNaskia zanzibar inapata 70 floor tower, ikijengwa nakunya kuanzia mombasa mpaka darView attachment 1915015
Saivi hata wale wa kupeana kazi imekuwa nje nje, paper la TRA limevuja na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, kweli uongozi ni kazi ngumu sn.Dah aisee
Sasa kama hizi ndio critical tasks za Rais hata watendaji wakiiba billion 2 kila halmashauri atajua kweli? Bandarini saivi washindwe wenyewe!
I know your blind and fool, so dont bother with any explanation...slum dwellerWell planned area budah!!km ni uchungu pekeka kw wodi ya uzazi
Your blindness your problem, so dont try to force me to unblind you...The fact that you're comparing your CBD to our estate tells everything. Dar can never have such well planned estates. Anyway, Dar is all CBD. I can post a photo of any place in Nairobi - Syokimau, Muthaiga, Kilimani, Donholm, Langata - anywhere and the rebuttal I'll get from a Tanzanian is always the CBD.![]()
Kwenye Viwanja vya mpira level yenu ni kiwanja cha KarumeTanzanians show us your second stadium, kuna kitu nataka kuona😂😂View attachment 1914969View attachment 1914970View attachment 1914971
Uko sahihi. Lakini ni wazi watu hawamuogopi mama ba serikali yake.
Sirro kambip mkuu wake wa kazi openly. Pia ukumbuke waziri wa afya aliagiza Askofu Gwajima kukamatwa, unakumbuka nini walijibu.
Hii nchi yetu wote na tunaipenda sana. Nafahamu wewe ni Mzalendo wa kweli na umejitoa sana kwa nchi hii ingawa wengi hawatambui hili.
Lazima tukubali, mama amepyaya sana. Anahujumiwa, anajibiwa openly.
Kuna angemjaribu Mgufuli kiasi hiki😂😂
Angalia sakata la kina Bashe. Waziri anasema hivi na mkuu wa mkoa anafanya hivi😂
😂 😂 😂Buku tano nao uchumi![]()
Ground of champions! 🤣 🤣 🤣 Kudadadeki, eti Africa tulikuwa number ngapi kwa idadi ya medali za Olympic vile??? 😂 😂 😂Biggest sporting complex in east, west and central africa
Stadium ✔✔
Acquatic arena ✔✔
Indoor arena✔✔
Warm- up pitch✔✔
Athletic village✔✔View attachment 1914907
Hivyo si vijiti vya mishikaki??? 😂 😂 😂
Wanajenga viwanja vya kudangia, wakati tunachezea complex - all under one roof! 🤣Hao wakiongelea stadiums sisi tunaongelea complex, tofauti ya Kenya and Tanzania is like day and night 😂😂😂
Watakuletea private fields za international schools, si unakumbuka wakati wa nyuma? 😂 😂 😂Tanzanians show us your second stadium, kuna kitu nataka kuona😂😂View attachment 1914969View attachment 1914970View attachment 1914971
Kiwanja kikubwa ila kinatia aibu aisee, bora hata wangejenga kidogo na kiwe bomba! 😁Ndo hii nimeipata, kinaitwa ccm kirumba😂😁View attachment 1914984