Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo hata haifikii Dandora Stadium[emoji23][emoji23]
Ndio huu wenye jukwaa mbili? Alafu once again angalia majukwaa jinsi yalivyowekwa kiubabaishaji, cku likija kudondoka likaua msiseme natural hazards [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1630265196914.jpg
 
lengo ni nzuri sana .. ila upande mwingine inaonyesha jinsi alivyo mtalii [emoji848]

Ni mwendo wa per diem, sitashangaa kama Suluhu media ndo imepewa hii tenda, sijui nani anamshauri! Mambo yenye uzito ya kitaifa si muhimu kwake ila kuwa na muda kurekodi kipindi cha Utalii! Yaani sura yake yeye itauza zaidi ya kutengeneza vipindi vya national geographic sio! Yaani baadae tunaenda kurusha hiki kipindi Good Morning America, nyie ngojeni...
 
GDP ni kazawadi Mzungu atakuhonga nacho akiona unazidi kumfurahisha kwa kufata anachotaka

Angalia hii shithole ya Accra inavyopaishwa na beberu kumbe kwa ground ni kama mathare tu
Eti ipo mbele zaidi ya Tanzania

Uwa nacheka kweli ghana yote ni sawasawa na dar es salaam tu na accra ni sawa sawa na mwanza tu hata magari wanayo miliki ni mikweche ambaya hapa kwetu unauziwa hadi million 2 tu na mteja upati maana ni gari chovu mikweche ambayo tz unakamatwa na polisi ukithubutu kuendesha barabarani
 
Watanzania wakiamua jambo la buana hahaha

Hawa 300k majority ni International community

Wanawake ndio hawataki kabisa kumuunga mkono mwanamke mwenzao Samia na gwajima

Jambo likisusiwa na mwanamke ni Jamii nzima imesusa

Screenshot_20210830-065826~2.png
 
Back
Top Bottom