Jamaa huwa anachekesha sn, ukiona anavyomsifia SSH utadhani labda hyo miradi inayoendelea yote ilianza awamu hii, utakuta barabara aliyoiponda mwaka jana leo anaisifia, lkn ukimkuta majukwaa mengine ni tofauti kabisa, mara leo anasifia upinzani kesho hautaki, unabaki kumtazama unasema hiiiiii!!!!!!usimjibu huyu mtu ni mgonjwa jamani anachafua hewa kwa sisi tunaowasoma huku nje tunaelewa,pengine utawala wa JPM ulimfanyia vibaya kwahiyo anataka kila mtu awe na chuki kama yake kwa MAGUFULI so mpotezeeni ajijibu mwenyewe.
Kuna thread kwenye jukwaa la siasa unakuta anachanganya mambo hata Huwezi elewa hua anatakaje.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Brt inajengwaKuna jipya? Kuna BRT? Kuna cable stayed bridge? Kuna electrical SGR? Aahh kumbe ni uchafu ule ule, basi baki na uchafu wako.
BRT iko wapi, cable stayed bridge hyo ni ndoto ya Kenya na haitowahi tokea, electrical SGR ni electrical Standard Gauge Railway ambayo hamtawahi kuwa nayo mpk pale dunia itaumbwa tenaBrt inajengwa
Cable bridge sijui itajengwa wapi
What is electrical sgr???





How much wood have been shipped to Kenya from Tanzania for how long lakini bado we look more greener while Kenya keeps being more desert 🏜️😅99% illegally harvested and sold
kazi ipo
Mzee andika kwa kiswahili manake unajichora tu😂😂How much wood have been shipped to Kenya from Tanzania for how long lakini bado we look more greener while Kenya keeps being more desert 🏜️😅
Twende pole pole, what are the parametres of a standard gauge railway??BRT iko wapi, cable stayed bridge hyo ni ndoto ya Kenya na haitowahi tokea, electrical SGR ni electrical Standard Gauge Railway ambayo hamtawahi kuwa nayo mpk pale dunia itaumbwa tena![]()
Bado jibu ya hii... Mtazidi kusoma namba.🇰🇪🇰🇪