Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wengine wakipanga kuuza raw cashew nuts, Sisi tunajenga processing plant to export processed products.

This is Vipingo Cashew Processing plant under construction.

tapatalk_1630127529919.jpeg


tapatalk_1630127540296.jpeg


tapatalk_1630127544757.jpeg


tapatalk_1630127548988.jpeg
 
Wameanza kuiba meli za Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Courtesy Geza Ulole

View attachment 1911885
Remember we have the biggest ship in lake Victoria so hakuna haja ya kuiba that small boat.

This MV Uhuru is currently the biggest ship in lake Victoria at 93m, soon it will be over taken by MV Uhuru II which will be 100m

IMG_20210827_182753.jpg


IMG_20210827_182800.jpg
 
Watakuambia majengo yamefichwa na miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1911756
whatever angle you look at it, nai is just so cute😍. nai is not a one unit pact like dar, nai is just extreemely extensive and expansive, the likes of london, shanghai and so on
 
Nakuona fisadi ulivyo na furaha kwa kufa kwa magufuli wewe subiri 3y utajua aujui ,kosa alilo fanya magufuli la kuwa dictator mwema ndiyo matokeo yake haya alicheka na kima ILA SIKU SI NYINGI TUTAMPATA DICTATOR WA UKWELI HAPO NDIPO MAFISADI MTAKAPO LIA NA KUSAGA MENO kwa kuwa watz tunataka kiongozi ambaye ni dictator wa haki
usimjibu huyu mtu ni mgonjwa jamani anachafua hewa kwa sisi tunaowasoma huku nje tunaelewa,pengine utawala wa JPM ulimfanyia vibaya kwahiyo anataka kila mtu awe na chuki kama yake kwa MAGUFULI so mpotezeeni ajijibu mwenyewe.

Kuna thread kwenye jukwaa la siasa unakuta anachanganya mambo hata Huwezi elewa hua anatakaje.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Tunapanga mashambulizi wewe subiri uone lazima walio usika na mauaji watajuta wewe ni mmoja wao wewe siunaona chanjo zinazidi kubuma
😂😂 Ona huyu kima.Unafanya vizuri Kujifariji ukiwa na msongo wa mawazo angalau usogese siku usije kujinyonga.
 
Nakuona fisadi ulivyo na furaha kwa kufa kwa magufuli wewe subiri 3y utajua aujui ,kosa alilo fanya magufuli la kuwa dictator mwema ndiyo matokeo yake haya alicheka na kima ILA SIKU SI NYINGI TUTAMPATA DICTATOR WA UKWELI HAPO NDIPO MAFISADI MTAKAPO LIA NA KUSAGA MENO kwa kuwa watz tunataka kiongozi ambaye ni dictator wa haki
😁😁😂😂💉💉💉💉 Hakuna mpumbavu ataachwa apumue aliharibu uchumi.

Mtu wenu hakuwa na akili ila alikuwa anawatisha wajinga kama wewe hapa.
 
Back
Top Bottom