Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

35B GDP Uganda Kampala

images (37).jpeg
images (36).jpeg
images (35).jpeg
images (34).jpeg
images (33).jpeg
images (32).jpeg
images (31).jpeg
 
Bei gani Kumwaga zege kwenye hiyo Mini Bus stand
Kwa jinsi Mwanza wanavyo-invest kwenye international standard public facilities kama the 2 modern buses and trucks stands, SGR Terminal and SGR track with over 5 km viaduct, international airport with PAX and the largest cargo terminal in the region, modern ports, ships building facilities, modern watervessels, modern markets, modern hospitals i.e. Bugando and Toure expansion with cardiac, kidney and cancer centers, massive gold smelters with anticipation of MNCs setting up regional headquarters there.

Naamini Mwanza city ikiwekewa ile 20 km highway inayopangwa kuunganisha lile daraja la JPM la 3.2 km na interchanges mbili ama tatu, inaenda kuwa the most developed city around the Lake Victoria! Sioni jiji lolote likilishinda Jiji la Mwanza kwa kujisheeneza public facilities of international standards labda yale makubaliano ya Barrickgold na JPM ya kuhamisha makao makuu toka J'burg kuja Mwanza yasitekelezwe. That truth should to be told, now and openly...!
 
So gdp sio chochote kumbe? Sababu Kampala na Pyongyang ni kama ardhi na mbingu!

Na akili ya Land Use , Kuna watu ardhi yao wameipanga vizuri sana, Yaani inajulikana public garden itakua wapi na itakuaje hata material watatumia nini, Lakini Nchi zetu Ardhi hazithaminiki na hamna mipango, angalia Tanesco anaweza nguzo hapa, TTCL nae anakuja kuchomeka yake , Halafu hawawezi weka vizuri hawana Standard zinadondoka au kupinda anaweka nyingine kuipa support kama bakora ya mzee, anakuja mwingine anaweka bango lake , Mwingine hivyo hivyo
Inakua uchafu mtupu.

Kuna kelele Nyingi Pyongyang masikini, sijui hamna utanadawazi , lakini wana vitu vimenyooka kuliko hata wale wapiga domo.
 
aah wapi?.. gdp ya north korea sawa na uganda View attachment 1912794
Kwahiyo je mkijilingaisha nyie na N. Korea mnaikaribia hata kwenye ndoto? Ndio maana huwa nasema Wakenya ni wapumbavu mno mpk ss hawajaelewa GDP ni upuuzi, mkitaka picha kamili msubiri muone miaka michache ijayo kama mtaiweza Tz kwenye GDP mana huyu mama anaenda nao sawa so lazima watamfurahisha kwa upuuzi wa GDP.
 
Back
Top Bottom