Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Itawachukua Wakenya miaka mia mbili (200) kufika hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1730418305.jpg
JamiiForums-348638080.jpg
 
Hawezi kumzidi baba na mama yako maana wao ni takataka kabisa za kutupwa kwenye incinilators.

Safi Sana madam President kwa kupindua upumbavu wa Mwendazake
Nakuona fisadi ulivyo na furaha kwa kufa kwa magufuli wewe subiri 3y utajua aujui ,kosa alilo fanya magufuli la kuwa dictator mwema ndiyo matokeo yake haya alicheka na kima ILA SIKU SI NYINGI TUTAMPATA DICTATOR WA UKWELI HAPO NDIPO MAFISADI MTAKAPO LIA NA KUSAGA MENO kwa kuwa watz tunataka kiongozi ambaye ni dictator wa haki
 
Unajua nini wewe kenge ,utaishia kuambiwa hivyo hivyo,bahati nzuri this time around mataga mumeungana na chadema kuugulia moyo [emoji16][emoji16].

Hadi ikafike 2030 mtaongea yote, Makusanyo yangeshuka ungekuta miradi imesimama,Madam President sio kama yule mwehu mwendazake aliyeua uchumi akawa anategea mikopo.

Lipa kodi wewe mlizoea vya bure ,this time around havipo.
Tunapanga mashambulizi wewe subiri uone lazima walio usika na mauaji watajuta wewe ni mmoja wao wewe siunaona chanjo zinazidi kubuma
 
Hapa mataga hutawaona maana mtu wao alishindwa kukamilisha hospital hii kwa miaka yote aliyokuwa Rais.

Hakuna danganya Toto hapa,ishu sio modality ya ujenzi bali hakuna pesa zilizotolewa.
Kwani ujui ccm wameanza kumwagana damu wao kwa wao au ujasikia kuwa kada kaua polisi watatu na mapolisi wamemuua
 
Watakuambia majengo yamefichwa na miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums174342503.jpg
 
Miti ndio inayoziba majengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums2141751827.jpg
 
Soo awesome!![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]., umeona the surroundings?,.., Nairobi west estates and industrial area in the opposite., wewe ulitakaje?[emoji23][emoji23]., pale Dar such aerial view ukiendesha gari lako along BRT utaona nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] along expressway or Thika road superhighway uwezi patana na uharo sehemu yoyote kama ilivyo Dar.., fyata ngoja SGR ya umeme [emoji23] [emoji91]
View attachment 1911145

Equivalent in Dar.., where BRT is passing.., sio mimi nasema, ni muonekano ulivyo down south..,
View attachment 1911147
Uchafu kushoto kulia....akuna kitu apo....na vigorofa uchwara kwa mbele...kinairobarry ni ushuzi tuu...alafu aya mabati hayamanishi ubora wa nyumba usinilazimishe nikulete zile slums mnazo ishi 80% of kunyans....
 
Pure Jealousy [emoji85]The pic is wow[emoji3590][emoji91][emoji91]Very organized [emoji382][emoji382]
Your foolsh blindness has nothing to do with the reality[emoji23][emoji23][emoji23] that is all of nirobary[emoji23][emoji23][emoji23] what a village our CBD is more to offer compared to this pathetic town
JamiiForums-1581881514.jpg
Screenshot_20210827-234735.jpg
 
Back
Top Bottom