Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa ni level nyingine View attachment 1913012
Subpost 3 - If something is important enough, even if the odds are stacked again ( 1350 X 1080 ).jpg
Subpost 5 - If something is important enough, even if the odds are stacked again ( 1294 X 1080 ).jpg
Subpost 6 - If something is important enough, even if the odds are stacked again ( 1350 X 1080 ).jpg
Subpost 7 - If something is important enough, even if the odds are stacked again ( 1350 X 1080 ).jpg
 
Attachments

  • Subpost 1 - If something is important enough, even if the odds are stacked again ( 1350 X 1080 ).jpg
    Subpost 1 - If something is important enough, even if the odds are stacked again ( 1350 X 1080 ).jpg
    125.6 KB · Views: 15
Na akili ya Land Use [emoji1787], Kuna watu ardhi yao wameipanga vizuri sana, Yaani inajulikana public garden itakua wapi na itakuaje hata material watatumia nini, Lakini Nchi zetu Ardhi hazithaminiki na hamna mipango, angalia Tanesco anaweza nguzo hapa, TTCL nae anakuja kuchomeka yake , Halafu hawawezi weka vizuri hawana Standard zinadondoka au kupinda anaweka nyingine kuipa support kama bakora ya mzee, anakuja mwingine anaweka bango lake , Mwingine hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inakua uchafu mtupu.

Kuna kelele Nyingi Pyongyang masikini, sijui hamna utanadawazi , lakini wana vitu vimenyooka kuliko hata wale wapiga domo.
Tanesco na ttcl wangese sana wameweka minyaya ovyo ni wakati wa serikali kuondoa nguzo za simu za nyaya na kuweka umeme mijini kupitia ardhini
 
Na akili ya Land Use [emoji1787], Kuna watu ardhi yao wameipanga vizuri sana, Yaani inajulikana public garden itakua wapi na itakuaje hata material watatumia nini, Lakini Nchi zetu Ardhi hazithaminiki na hamna mipango, angalia Tanesco anaweza nguzo hapa, TTCL nae anakuja kuchomeka yake , Halafu hawawezi weka vizuri hawana Standard zinadondoka au kupinda anaweka nyingine kuipa support kama bakora ya mzee, anakuja mwingine anaweka bango lake , Mwingine hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inakua uchafu mtupu.

Kuna kelele Nyingi Pyongyang masikini, sijui hamna utanadawazi , lakini wana vitu vimenyooka kuliko hata wale wapiga domo.
Kiukweli nchi za Afrika zinazingua sana yani utakuta mji umejengwa vzr lkn minyaya ya umeme na minguzo isiyo katika mpangilio inaharibu aesthetic ya mahali, ustaarabu ulitupitia kando kabisa sisi.
 
My Take ; Wakenya tunakuja Nairobi soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So gdp sio chochote kumbe? Sababu Kampala na Pyongyang ni kama ardhi na mbingu!
haya! tebu ona huyu?. eti gdp sio chochote. China ina sifa sababu gdp size, US ina sifa sababu kamili gdp. 👇hii hapa ndo taswira kamili, maana ya gdp size..
North korea vs South korea
800px-Korean_Peninsula_at_night_from_space.jpg

pia kenya vs tanzania 😆😆
nakuru15.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utapata tabu sana sisi tunatembea na legacy wewe ndiyo unapata tabu magufuli kafa ila nakuona unaweweseka sisi tunasonga mbele kama tai
Endeleeni kutembea na legacy,mtakula legacy hadi 2030
 
Huu ni upumbavu mwingine,seems wazee wa legacy wamemkamata mtu.Hai make sense kuendelea kupoteza pesa kwenye mambo ya kijinga kama haya.

Ni juzi tuu hapo watu walikuwa wanalalamika hasara inayoletwa na ATCL then Serikali inaendelea ku commit pesa.

Tzn hatujawahi kuwa na viongozi,wamekuga wehu wanaingia vichaa.
 
Jamaa huwa anachekesha sn, ukiona anavyomsifia SSH utadhani labda hyo miradi inayoendelea yote ilianza awamu hii, utakuta barabara aliyoiponda mwaka jana leo anaisifia, lkn ukimkuta majukwaa mengine ni tofauti kabisa, mara leo anasifia upinzani kesho hautaki, unabaki kumtazama unasema hiiiiii!!!!!!
Mimi sio mfuasi wa mtu au chama ila ni mfuasi wa actions zinazoleta matokeo Chanya.

Mimi sio sawa na nyie cheap mind ambao wazazi wenu wakigombana afu mmja akafanikiwa kukupiga fix basi unatelekeza mwingine Sina huo upumbavu.
 
Huu ni upumbavu mwingine,seems wazee wa legacy wamemkamata mtu.Hai make sense kuendelea kupoteza pesa kwenye mambo ya kijinga kama haya.

Ni juzi tuu hapo watu walikuwa wanalalamika hasara inayoletwa na ATCL then Serikali inaendelea ku commit pesa.

Tzn hatujawahi kuwa na viongozi,wamekuga wehu wanaingia vichaa.
We pampasi tupiche kitu LEGACY TU
 
Huu ni upumbavu mwingine,seems wazee wa legacy wamemkamata mtu.Hai make sense kuendelea kupoteza pesa kwenye mambo ya kijinga kama haya.

Ni juzi tuu hapo watu walikuwa wanalalamika hasara inayoletwa na ATCL then Serikali inaendelea ku commit pesa.

Tzn hatujawahi kuwa na viongozi,wamekuga wehu wanaingia vichaa.
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] sasa tukusaidie nini?
MAGUFULI NI KAMA MTUME TU AKIFA LEGACY YAKE NDIYO INAANZA KUISHI
 
Kuna kenge aka taga kuu la mwendazake alikuwa anaropoka eti anasikia mapato yameshuka,ilibidi nimcheke kwa dharau tuu.
Wasikudanganye mapato ya nchi yameshuka ndiyo maana kodi za kishenzi zinabuniwa za tozo na umeme mm ninamtu ananiambia kutoka chini ya kapeti ,hadi kikao cha mawaziri kikaitishwa ikulu kujadili hilo
 
Mimi sio mfuasi wa mtu au chama ila ni mfuasi wa actions zinazoleta matokeo Chanya.

Mimi sio sawa na nyie cheap mind ambao wazazi wenu wakigombana afu mmja akafanikiwa kukupiga fix basi unatelekeza mwingine Sina huo upumbavu.
Kakojoe ukalale usije kojolea kitanda kama jana mama atakuchapa
 
Back
Top Bottom