Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MGR Tanzania about to give SGR Kenya a run for their bloated investment!







E9ermx3WEAAeVkG






MY TAKE
The wagons r coming on time to haulage EACOP cargo!

Vile vichwa hawawezi kuvi-upgrade
 
actually milimani ambapo kulitakiwa kuwe nyuma ndo kuko mbele zaidi nadhani kuanzia Dodoma kwenda Makutupora ndo bado kuko nyuma! Ila milimani madaraja na tunnels tayari uchongaji wa milima tayari nadhani reli itatandikwa kote very soon!

Achana na icho kipande cha ma tunnels , Kuna kipande kingine cha milima kinaonekana bado kweli
 
Kuna mbwa alikuwa anaulizia four lane road in CBD nadhani hapa kajibiwa kwamba zinakaa 5lanes upande mmoja na 5lanes upande wa pili plus two lanes za BRT, total ni ten lane road plus two lanes za BRT yn twelve lane road in the CBD [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20210823-185523.jpg
 
Wakenya oneni reli yetu kama haijaungwa vilee, kwa Wakenya wasiojua ni kwamba hiyo ndiyo technology ya kisasa kabisa na inasaidia treni lisipige kelele nyingi kama gari moshi la Chinese first class[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-774950784.jpg
 
Back
Top Bottom