Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210717-233014.jpg
 
Wakenya oneni reli yetu kama haijaungwa vilee, kwa Wakenya wasiojua ni kwamba hiyo ndiyo technology ya kisasa kabisa na inasaidia treni lisipige kelele nyingi kama gari moshi la Chinese first class[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1905131
Alafu mwisho wa mwaka reli yenu itabeba 17M tonnes wakati ya Kenya itabeba 22M tonnes 😂😂😂. Mwisho wa mwaka your trains will only transport 1M passengers while ya Kenya will do 3M passengers. I'm sure you can decide for yourself who got a better deal between the two😂😂
 
Alafu mwisho wa mwaka reli yenu itabeba 17M tonnes wakati ya Kenya itabeba 22M tonnes [emoji23][emoji23][emoji23]. Mwisho wa mwaka your trains will only transport 1M passengers while ya Kenya will do 3M passengers. I'm sure you can decide for yourself who got a better deal between the two[emoji23][emoji23]
Treni yetu zingine ni double decker na zote ni za kisasa na fast kuliko yenu kwa hiyo yetu itabeba watu wengi alafu zetu ni za kisasa na zenu ni za technologia zilizopitwa na wakati.kuhusu Treni ya mizigo nchi nyingi zitachagua treni zetu Kwa sababu they are fast, electric na very effective.hakuna nchi itaacha kubeba mizigo yake na treni ya mwendokasi ya umeme.alafu treni zetu zitafika mpaka Uganda,Rwanda huko more yenu imeishia porini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sindano zinazokuja ni za motroooo, nategemea Wakenya kuweka mgomo kama wa mwaka jana mana tutawapiga sindano ya electric trains hawajakaa vzr the most beautiful cable stayed bridge a.k.a Tanzanite bridge itakuwa ishakamilika, mara JNHPP hiloo, wakati wanawaza wafanyeje BRT inaua, wakati wanatafutana uchawi tunawagongelea msumari wa the biggest ship, pembeni kigongo busisi litakuwa linafanya warm up[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alafu mwisho wa mwaka reli yenu itabeba 17M tonnes wakati ya Kenya itabeba 22M tonnes [emoji23][emoji23][emoji23]. Mwisho wa mwaka your trains will only transport 1M passengers while ya Kenya will do 3M passengers. I'm sure you can decide for yourself who got a better deal between the two[emoji23][emoji23]

tajir bwana mapesa billionaire kutoka kenya.. wadanganye wenzio sio sisi.. hamjawahi kubeba abiria 3M kwa mwaka wala 2M hamjawah kufikisha kwa mwaka .. kama hujui maths hainihusu

IMG_1090.jpg

IMG_1089.jpg
 
Tukishamaliza BRT phase 2 na electrified SGR ikianza ku run, sisi ndiyo tutakuwa na mandate ya kufanya comparison na SA, Maroc au Egypt na co Kunyaland cz ni aibu sana, eti unataka kushindana na SA kwenye infrastructures kwasababu ya medali [emoji966] za kukimbia, wapi na wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tajir bwana mapesa billionaire kutoka kenya.. wadanganye wenzio sio sisi.. hamjawahi kubeba abiria 3M kwa mwaka wala 2M hamjawah kufikisha kwa mwaka .. kama hujui maths hainihusu

View attachment 1905254
View attachment 1905255
Kwamba ichoboy anashauri kwenye maneno 10 ya mkunya chukua moja nenda zako, ila cc baada ya kufanya research tumegundua hata hilo moja pia usichukue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani medali za kukimbia zinaenda kufananishwa na infrastructures [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na ni medali za kukimbia tu sio medali nyingine, na baada ya uchunguzi ikagundulika kwamba moja ya sababu za medali hizo ni ubovu wa transport services, sasa ndugu zangu watanzania tutasubiri sana kwenye hizo medals [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2017 mlijenga reli ya umeme au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Electricity is just a make up. It doesn't change the name of your railway from SGR to HGR. Both our railways have gauges of 1435mm and that's important.
 
Back
Top Bottom