Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
470d41a8ff3dffeedbcc1b59a4d51480.jpg
e0637a889361865d13c94cad0aaf4cd7.jpg

mwarabu ameshikilia LDC ...lol
 
e1befdad7d41c04d11c5dfe0e8f730d1.jpg
Chris Kirubi ni mwanasiasa?
 
mwarabu ameshikilia LDC ...lol
ni mwarabu na wala si siri,ila kazaliwa LDC,watoto wake kawazalia LDC,wamesoma shule za LDC,yeye mwenyewe anaishi LDC,na sasa anazeeka LDC.

nilichompendea,licha ya utajiri mkubwa alio nao, hakujihusisha na uporaji wa ardhi ya watu masikini wala wizi wa mali ya umma kama ilivofanya familia ya kina kenyatta na maswahiba zao walioshika nyadhifa kubwa serikalini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
leta investment zake zinazofahamika nje ya kenya.
sifanyi io kazi.
1. Vimal Shah
2. Naushad Merali
3. Chris Kirubi
those are the richest men in Kenya na hakuna mwanasiasa.
make good use of the internet to dig more info about them hata kama internet huko kwenu ni slow
 
i need the names of their well known investments out of Kenya.

NB:I use to think all the richmen in kenya are native kenyans...why Indian names?.[emoji23] [emoji23]
 
hii comment naona imekuwa chungu kwa wakenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
470d41a8ff3dffeedbcc1b59a4d51480.jpg
e0637a889361865d13c94cad0aaf4cd7.jpg
e1befdad7d41c04d11c5dfe0e8f730d1.jpg

bakhresa grain milling in Madagascar.
5dbb061166056abda77fc8f3b521a37b.jpg
 
i need the names of their well known investments out of Kenya.

NB:I use to think all the richmen in kenya are native kenyans...why Indian names?.[emoji23] [emoji23]
make good use of the internet bruh! i've done my part.
umetoka kwa politicians, sasa uko kwa indian names.... aisee, unatafuta kiki kwa pikipiki
 
I want a list of top 20 richest Kenyans and Tanzanians tuone excuse ya kadoda. .....alikimbia kuongelea wanasiasa wetu juu wame invest.Tanzanian politicians pia are thieves only that hawana brains za kubuild empires. .... ....Dewji kumbe ameshikilia uchumi wa LDC yenu hivo...wah..!! if his businesses collapse then Tanzania is dead
 
Next in line is The Kingdom City Tower.
Upperhill, Nairobi
75storey buliding
360m [Super] tall
September
19105510_1471337876293870_8755777536863460438_n.jpg
 
I want a list of top 20 richest Kenyans and Tanzanians tuone excuse ya kadoda. .....alikimbia kuongelea wanasiasa wetu juu wame invest.Tanzanian politicians pia are thieves only that hawana brains za kubuild empires. .... ....Dewji kumbe ameshikilia uchumi wa LDC yenu hivo...wah..!! if his businesses collapse then Tanzania is dead
mbona unatoa povu kama mwehu....wewe leta investments zinazofahamika nje ya kenya zinazomilikiwa na matajiri wenu.
 
Sio Dewji tu. Kuna mwingine anamkalia anaitwa Rostam Aziz, Reginald Mengi,Yusuph Kanji, Ali Mfuriki. Huyu Ali Mfuriki pia ana Investments hapk Kenya, Karamaji, Mr White, Matambuu, Patel and many others. Tanzania niyatatu Kwa kuwa na Top billioners in Africa after Nigeria and South Africa
I want a list of top 20 richest Kenyans and Tanzanians tuone excuse ya kadoda. .....alikimbia kuongelea wanasiasa wetu juu wame invest.Tanzanian politicians pia are thieves only that hawana brains za kubuild empires. .... ....Dewji kumbe ameshikilia uchumi wa LDC yenu hivo...wah..!! if his businesses collapse then Tanzania is dead
 
make good use of the internet bruh! i've done my part.
umetoka kwa politicians, sasa uko kwa indian names.... aisee, unatafuta kiki kwa pikipiki
nahisi kiswahili changu ni kigumu sana,hukukielewa.[emoji23]

pitia comment yangu kwa mara nyingi zaidi,utanielewa.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
470d41a8ff3dffeedbcc1b59a4d51480.jpg
e0637a889361865d13c94cad0aaf4cd7.jpg
e1befdad7d41c04d11c5dfe0e8f730d1.jpg

bakhresa grain milling in Madagascar.
5dbb061166056abda77fc8f3b521a37b.jpg
 
Sio Dewji tu. Kuna mwingine anamkalia anaitwa Rostam Aziz, Reginald Mengi,Yusuph Kanji, Ali Mfuriki. Huyu Ali Mfuriki pia ana Investments hapk Kenya, Karamaji, Mr White, Matambuu, Patel and many others. Tanzania niyatatu Kwa kuwa na Top billioners in Africa after Nigeria and South Africa
nyora ulale
 
leteni orodha tuone black Tanzanians kama wako top 5 lol.....wajukuu wa said seyyid wamewaweka mfukoni na ki azam twenu twa LDC. ..Lol
 
Back
Top Bottom