Pia kuna na Tanga wanajenga EPZ Sinoma ya China wamesha anza ujenzi. Nyagau nikushangaa sana.
Kila kona Tanzania inajengawa
EPZ Kigoma
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Soma zaidi file nime attach
Kila kona Tanzania inajengawa
EPZ Kigoma
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Soma zaidi file nime attach
Tz wakileta photos that can match this one here, tunakubali wanatukimbisha, if not bado wako nyuuuuuuuuma
Acha utaniTz wakileta photos that can match this one here, tunakubali wanatukimbisha, if not bado wako nyuuuuuuuuma
Mambo ya nyumba nyumba mbona tumeshayatupia mpaka tumechoka.Tz wakileta photos that can match this one here, tunakubali wanatukimbisha, if not bado wako nyuuuuuuuuma
Ive followed this thread mpaka here and I can tell you for a fact u cant beat Nairobi hands down, wenzenu wanawambia ukweli hamtaki kuskiaMambo ya nyumba nyumba mbona tumeshayatupia mpaka tumechoka.
Nyie mnarudia rudia issue zile zile. Kama unataka kuangalia fuatilia hii thread mwanzo mwisho. Hivyo vitu unataka kujifurahisha tu.
Alikuwepo Wanjala hapa alikuwa akileta picha tunamjibu mpaka akakimbia mwenyewe.
Ive followed this thread mpaka here and I can tell you for a fact u cant beat Nairobi hands down, wenzenu wanawambia ukweli hamtaki kuskia
Wewe ndiye judge!? Hapa tunashindana halafu wewe mpinzani ndiye unayetoa judgment huo si upumbavu!?Ive followed this thread mpaka here and I can tell you for a fact u cant beat Nairobi hands down, wenzenu wanawambia ukweli hamtaki kuskia
This is what you don't want to see