Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyingine hizo alijua white elephant😀😀
Screenshot_20170721-200845.jpg
Screenshot_20170721-200904.jpg
 
Kenya mnajifanya mnauchumi wakati uku Magari ya shule yanamatundu mpaka watoto wasiokua na hatia wanapoteza huai wao kwa kutumbukia kwenye matundu ,angalia mtoto aliepoteza huai wake leo.Shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol.....tunaletewa plastics pia hapa na juo. ....Hahaha
haha... umekiche???
btw, if only that Azam guy could be Kenyan.... he could be miles away. or if only he could be just a lil bit aggressive and enter the Kenyan market..... who knows?
 
Kenya mnajifanya mnauchumi wakati uku Magari ya shule yanamatundu mpaka watoto wasiokua na hatia wanapoteza huai wao kwa kutumbukia kwenye matundu ,angalia mtoto aliepoteza huai wake leo.Shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app


you also lost 40 pupils due to bad roads in Arusha ..give us a break moron
 
hii azam tunapigiwa nayo kelele haiskiki hata Kenya. ....mwarabu aitwaye azam atawale tu nayo hapo LDC .....Azam atazama tu
 
Said Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.
 
akiingia Kenya atapigwa vita ile hakuna. hapo ndio ma-slogans zitaamshwa... utakua unaskia [HASHTAG]#BuyKenyaJengaKenya[/HASHTAG]
wacha aeendelee ku hawk azam juice kwa streets.
 
Tuliomba picha za where ordinary Zanzibar people stay tunapostiwa tu resorts za wajukuu wa seyyid said...Lol
 
Back
Top Bottom