Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
kumbe uko kaa mimi???Hizo vitu mimi nazionea huku lol
maajabu yako hapa JF!!!
kumbe uko kaa mimi???Hizo vitu mimi nazionea huku lol
looolleteni orodha tuone black Tanzanians kama wako top 5 lol.....wajukuu wa said seyyid wamewaweka mfukoni na ki azam twenu twa LDC. ..Lol
Mnapoteza muda wenu huku kwa kusifu utajiri wa watu wengine wakati familia zenu hamjui kesho itakuje. Shame shame on you foolish african
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu sana. Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!Mnapoteza muda wenu huku kwa kusifu utajiri wa watu wengine wakati familia zenu hamjui kesho itakuje. Shame shame on you foolish african
Sent using Jamii Forums mobile app
White elephant as usual😀😀😀😀Next in line is The Kingdom City Tower.
Upperhill, Nairobi
75storey buliding
360m [Super] tall
September
View attachment 547614
Bila kuwasahau giants oilcom(father) and camel oil(son) hawa jamaa wanapesa zimewazidi umriSio Dewji tu. Kuna mwingine anamkalia anaitwa Rostam Aziz, Reginald Mengi,Yusuph Kanji, Ali Mfuriki. Huyu Ali Mfuriki pia ana Investments hapk Kenya, Karamaji, Mr White, Matambuu, Patel and many others. Tanzania niyatatu Kwa kuwa na Top billioners in Africa after Nigeria and South Africa
Hahahahaha I like it when it hurts youWhite elephant as usual😀😀😀😀
najua inaumaWhite elephant as usual😀😀😀😀
Mengi😀😀😀😀 top 5 yupoleteni orodha tuone black Tanzanians kama wako top 5 lol.....wajukuu wa said seyyid wamewaweka mfukoni na ki azam twenu twa LDC. ..Lol
Nafurahi kuona munaota dream za alinachaHahahahaha I like it when it hurts you
sent from iPhone 7
Ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu. Hata mimi naasili ya kirabu but 100% Tanzanian made.Kumbe hizi ma azam niya mwarabu....yani mwarabu anatesa LDC hivo... Mungu saidia LDC
sent from iPhone 7
Is mengi mwarabu????🙄🙄🙄Waarabu lol
sent from iPhone 7
Lol 365 metres iyo napanda lift hadi topest then nacjnachungulia LDC to the south nkiwacheka.....lolNafurahi kuona munaota dream za alinacha
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mwarabu lolElectronic product by Mo Dewji the youngest $1.4B in Africa anazidi utajili wa Uhuru Mara mbili wa $600million. He is in 30's.
Mo electro. Coming soon to Kenya 100% Tanzanian made flat screen.View attachment 547623View attachment 547629