Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haha... umekiche???
btw, if only that Azam guy could be Kenyan.... he could be miles away. or if only he could be just a lil bit aggressive and enter the Kenyan market..... who knows?
Jipe matumaini hvohvo😀😀😀😀😀
 
haha... umekiche???
btw, if only that Azam guy could be Kenyan.... he could be miles away. or if only he could be just a lil bit aggressive and enter the Kenyan market..... who knows?
Kenya alishaingia zamani. Mikate na mandazi ya Kenya utengenezwa na Ngano ya azam Kenya, pia azam energy drink mnakunywa sana ili mpate nguvu za kiume msipigwe na wake zenu. Nasikia huko wanawake wanawapiga sana.
Screenshot_2017-07-20-14-32-32.png
Screenshot_2017-07-20-14-32-32.png
 
hii azam tunapigiwa nayo kelele haiskiki hata Kenya. ....mwarabu aitwaye azam atawale tu nayo hapo LDC .....Azam atazama tu

Said Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.

akiingia Kenya atapigwa vita ile hakuna. hapo ndio ma-slogans zitaamshwa... utakua unaskia [HASHTAG]#BuyKenyaJengaKenya[/HASHTAG]
wacha aeendelee ku hawk azam juice kwa streets.
kitendo cha kumtaja taja namna hii,inaonyesha ni kiasi gani mpo obsessed naye...
 
Sioni Barbara yoyote mpya hapo. Zaidi ya majengo mazee
yaani hawa majamaa ni wapuuzi yaani hivyo vipeace vya barabara za juu si nikama foot bridge yaani huwa wanatengeneza ili mradi tu wajifariji na kuziita intercharg ama fly over......yaani wanapigwa sana pesa na government yao ni vipisi juu ya vipisi na kuchimba
 
Said Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.
Huyu anaitwa Mo Dewji ni youngest richest person in Africa alafu ni Richest person in East Africa anafaata Rostam Aziz baadae anafaata Bakhresa mwenye almost utajiri sawa na Reginald the owner of East Africa TV . Richest in East Africa from Tanzania.Mo Dewiji. Tukionyesha viwanda vyake mtakimbia humu. Anafungua viwanda vya electronics kama TV, Radio, Freezers and many others.
Screenshot_2017-07-21-21-40-17.png
Screenshot_2017-07-21-21-40-17.png
 
kitendo cha kumtaja taja namna hii,inaonyesha ni kiasi gani mpo obsessed naye...
Nine wambia huyo mtoto Mo Dewji anautajiri mara mbili ya Bakhresa na ndo the richest in East Africa anafuata Rostam Aziz ambae nae hakuna Mkenya anae mfikia. Bakhresa ni third position.
Screenshot_2017-07-21-21-40-17.png
 
wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.

470d41a8ff3dffeedbcc1b59a4d51480.jpg
e0637a889361865d13c94cad0aaf4cd7.jpg
e1befdad7d41c04d11c5dfe0e8f730d1.jpg

bakhresa grain milling in Madagascar.
5dbb061166056abda77fc8f3b521a37b.jpg
 
Back
Top Bottom