Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Haya mambo ni tanzania tu
9C946AC3-5901-4502-B185-2C1C2FAFFD64.jpeg
D2961250-3513-4544-9E27-EEAED3CAF642.jpeg
F04B6C5A-4FE5-46EC-848D-CA274D041255.jpeg
D3B52938-F1B6-4291-8A3D-966D16EF97C9.jpeg
 
Ninao marafiki wawili waghana hapa dar mmoja kaoa mwanamke wa kihaya wao wenyewe wanasema hivyo baada ya kufika huku africa mashariki , ndiyo maana kuna watz wanasemaga kama unaidharau tz basi tembelea nchi nyingine za africa ndiyo utajua kuwa tz ni kutamu
👍 Hapohapo ulipo pata grant, ntalipa 😀
 
ka gani ?. sijai skia tz ime host CAF ama CHAN. tu Tz naskia ime host CECAFA, hio ata burundi, south sudan ama somalia itaweza
Tuna kila kitu bora kuwazidi, tuna viwanja vizuri kuwazidi, wananchi wa Tanzania wanapesa na wanapenda michezo kuwazidi ila tunatofautiana kimtazamo nyie mambo yenu mnafanya kisiasa sana kuliko uhalisia, cc tupo serious na mambo ya mana kwa ss.
 
Huyo mpumbavu alikuwa nataka reli iwe mali ya mchina kama ya kenya na itemise mafuta tena yenye gharama kubwa maana magufuli katuokoa sana kutoka katika upumbaavu wa mkwere
Shida ya wanaomng'ong'a Magu nikwamba wana uwezo mdogo wa kufikiria huku wakidhani vitu tulivyofanikisha vingewezekana kwa wengine.
Inatakiwa wajue kwamba Magu alianza na vitu vigumu vilivyoshindikana huku hesabu zake zikiwa kuja kufanya vilivyobakia baadae sema muda ukawa finyu kwake.
Mfano;
1. JNHP iliyoshindikana tangu enzi za Nyerere
2. Kuspeed up safari ya kuhamia Dodoma ambayo wenzake walikua wakienda polepole
3. SGR ya umeme ambapo mawazo ya wengi wape ilikua iwe ya mafuta tena imilikiwe na mchina
4. 8 to 12 lanes Kimara - Kibaha Highway ambayo ilitakiwa kua 4 lanes tena imilikiwe na wazungu
5. Kusambaza umeme vijijini kwa kasi kubwa
6. Kuongeza Hospital za rufaa na vituo vidogo vya afya kwa zaidi ya 100% (Wingi wa hospitali alizojenga umezidi zile zilizojengwa na maraisi wanne wote kwa pamoja + wakoloni)
7. Ameboresha technical education kwa kurekebisha majengo ya technical schools na veta kwa kukarabati na kujenga karakana za kujifunzia, swala muhimu sana kwa uchumi wa viwanda
8. List ni ndefu...
Note: Hayo yote kaanza na kumaliza kwa fedha za ndani na ile iliyo mikubwa kama SGR na JNHP kaanza kwa pesa za ndani ili kutengeneza njia ya kukopesheka kirahisi kwa phase zinazofuata maana mwenye nacho anaongezewa
 
Mapadlock hii ndo kazi amefanya😂😂😂😂😂 kweli uhuru hapendi sifa manake anamfunika mara ishirini.
 
Well said, brother.
 
Back
Top Bottom