Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Dar the slave market😂😂😂
Hapo panaitwa migomigo Magomeni, pana soko la kisasa kabisa na apartments zilizoenda shule,








Bora msikiti ni wetu tumeujenga wenyewe kuliko slum la muingereza lenye majinamizi 😅😅😅Ikulu to infinity😂😂😂😂View attachment 1896471View attachment 1896473
Hiyo siyo Ikulu to infinity usichanganye madesa, hiyo inaitwa Ikulu kubwa na ya zamani zaidi EA au iite Ikulu the founder, but Ikulu to infinity hii hapa








Bora hiyo ilikuwa zamani, na Africa nzima ilikuwepo hyo biashara lkn hawa mbwa mpk leo wanafanywa watumwa ndani ya failed state inayoitwa Libya





Umeingia mtegoni, kiestate kile kile ichoboy yuapost daily.😂😂😂Hapo panaitwa migomigo Magomeni, pana soko la kisasa kabisa na apartments zilizoenda shule,View attachment 1896481View attachment 1896482View attachment 1896483View attachment 1896484View attachment 1896485View attachment 1896487
Mosque sorry ikulu to infinity😂😂😂Hiyo siyo Ikulu to infinity usichanganye madesa, hiuyo inaitwa Ikulu kubwa na ya zamani zaidi EA au iite Ikulu the founder, but Ikulu to infinity hii hapaView attachment 1896503View attachment 1896504
Ladies and gentlemen this is how a city without real estate looks like
View attachment 1896527View attachment 1896528
Kuna kitu nime notice, wewe ni jobless, baadaye wakuu









Unafanya kazi kwa mwarabu roho mbaya hataki ushike simu😂😂😂Kuna kitu nime notice, wewe ni jobless, baadaye wakuu![]()
Ouch! 🤣🤣🤣🤣Unafanya kazi kwa mwarabu roho mbaya hataki ushike simu😂😂😂
Subiri ikamilike. Hii ndio the best interchange in EA
Wasomi hushindana na Data anachofanya Gwanyima hakuna tofauti na watu wanaoishi kwa kuamini ushirikinaSubiri uone hapo kunamichezo mingi sana mama na genge lake la wanafiki wameshindwa kutambua kushindana na gwajima kwa ili jambo ni kushindana na uma wa watanzania hapa sasa hivi chadema wataanza kucheka japo mimi siyo chadema mm nilikuwa ccm ya magufuli
Porojo as usual,thibitishaIn Kikwete's time, we were an inch away from becoming another failed state like Kenya and Nigeria.
It was one of the glorious opportunities for opposition parties to upset CCM in 2015 general election.
If you are not congruent with the facts laid down above, you are either not Tanzanian, plain stupid, or both.
💉💉💉💉Sisi hatuna muda wa kupigishana na wapuuuzi waliopo serikalini sisi tunajibu kwa vitendo ,kama tunavyojibu kwenye tozo tumeachana na hizo huduma za makato ya kianithi yaliyopewa jina feki la uzarendo