Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wanafurahia tournaments ambazo haziwasaidii kuwaepusha na njaa na umaskini .. wacha sisi tutekeleze miradi ya kimkakati
View attachment 1896718
View attachment 1896719
View attachment 1896720
View attachment 1896721
Aisee huu mradi yani hapa kwenye hili lichumba wamejaa watu kama wote nikadhani ndio mradi wenyewe, lahaula kumbe ni kachumba tu kwenye mradi viko tisa vyumba kama hivi, nawashauri Wakenya wasijaribu kabisa hata kufikiria kufanya mradi kama huu utawagharimu maisha yao.
JamiiForums-1729062282.jpg
JamiiForums638414027.jpg
 
Mapadlock hii ndo kazi amefanya😂😂😂😂😂 kweli uhuru hapendi sifa manake anamfunika mara ishirini.
Hayo ni baadhi tu, we mwenye unajua ishu za Flyovers, bridges, bus stations, markets, clean water, free education, n.k. Kama kawaida yenu wazee wa akili kiduchu, hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia. Lengo langu sio kumention projects bali ni approach aliyotumia ya fedha za ndani na kupush no matter what the obstacles he could face
 
Shida ya wanaomng'ong'a Magu nikwamba wana uwezo mdogo wa kufikiria huku wakidhani vitu tulivyofanikisha vingewezekana kwa wengine.
Inatakiwa wajue kwamba Magu alianza na vitu vigumu vilivyoshindikana huku hesabu zake zikiwa kuja kufanya vilivyobakia baadae sema muda ukawa finyu kwake.
Mfano;
1. JNHP iliyoshindikana tangu enzi za Nyerere
2. Kuspeed up safari ya kuhamia Dodoma ambayo wenzake walikua wakienda polepole
3. SGR ya umeme ambapo mawazo ya wengi wape ilikua iwe ya mafuta tena imilikiwe na mchina
4. 8 to 12 lanes Kimara - Kibaha Highway ambayo ilitakiwa kua 4 lanes tena imilikiwe na wazungu
5. Kusambaza umeme vijijini kwa kasi kubwa
6. Kuongeza Hospital za rufaa na vituo vidogo vya afya kwa zaidi ya 100% (Wingi wa hospitali alizojenga umezidi zile zilizojengwa na maraisi wanne wote kwa pamoja + wakoloni)
7. Ameboresha technical education kwa kurekebisha majengo ya technical schools na veta kwa kukarabati na kujenga karakana za kujifunzia, swala muhimu sana kwa uchumi wa viwanda
8. List ni ndefu...
Note: Hayo yote kaanza na kumaliza kwa fedha za ndani na ile iliyo mikubwa kama SGR na JNHP kaanza kwa pesa za ndani ili kutengeneza njia ya kukopesheka kirahisi kwa phase zinazofuata maana mwenye nacho anaongezewa

Pia kubwa zaidi, ni jinsi alivyoweza kuliongoza taifa kwa kutoa maamuzi magumu kipindi chote.

Wapo wajinga-wajinga hawajajua effects za kuiga-iga wazungu.

Kilichotokea huko South baada ya ujinga wa lockdown.
 
Hayo ni baadhi tu, we mwenye unajua ishu za Flyovers, bridges, bus stations, markets, clean water, free education, n.k. Kama kawaida yenu wazee wa akili kiduchu, hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia. Lengo langu sio kumention projects bali ni approach aliyotumia ya fedha za ndani na kupush no matter what the obstacles he could face
Huwa nashangaa mkuu pale mnaposumbuka kuwajibu ma troll, hyo miradi uliyotaja tu ndiyo miradi mikubwa zaidi EA wala usiongeze mingine, gharama ya kufanya miradi kama hiyo uliyotaja ni sawa na uchukue miradi yote ya Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Congo na haifiki thamani ya miradi uliyotaja mkuu hata wao wanajua hilo.
 
Free education mnapata leo, typical ldc😂😂😂😂😂
 
Huwa nashangaa mkuu pale mnaposumbuka kuwajibu ma troll, hyo miradi uliyotaja tu ndiyo miradi mikubwa zaidi EA wala usiongeze mingine, gharama ya kufanya miradi kama hiyo uliyotaja ni sawa na uchukue miradi yote ya Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Congo na haifiki thamani ya miradi uliyotaja mkuu hata wao wanajua hilo.
Umeandika kwa uchungu mkali, i can feel your pain lakini ndo hivo tu😂😂😂 unajiskiaje kwa mfano kitui ikipata interchange mbele ya dar😁😁😁
 
Huwezi kukuta balozi wa nchi kubwa kama usa akijichanganya huko kunyaland,Tanzania nchi yenye amani muacheni huyo mzee aenjoy
Tatizo la mwafrika ndo hilo, huwezi pata mzungu huko usa akiandika huu ushuzi👆 kuhusu ambassador wenu. Unaugua white saviour syndrome.
 
Back
Top Bottom