Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnalazimisha tu vitu msivyoweza, hao waliokuja hawana akili

Em angalia spectators hakuna hata mmoja, tatizo hamjitambui kama ninyi ni mafukara mnaoforce kuishi kizungu, Nairobi raia wengi ni slum dwellers wasiojua where their next meal is located, sasa nani wa kuja kulipia upumbavu hapo?
ile day Tz ita host any international event.... hio day,. aki walai, nafunga a/c
 
Gwajima anaongea kuhusu chromosomes, RNA, DNA, Genes, antibodies, vaccine development, reactions etc wewe Huna akili ya kumuelewa sababu hakuna mshirikina anaejua hayo mambo

Halafu ni bora ubaki na id 1,ukiwa na nyingi sio kama ndio utapata attention yoyote!
Sasa hayo si yapo kwenye biology na chemistry,hoja sio kuongea chromosomes,antibodies,DNA au RNA bali kuja na descriptive research na kutuonesha contents za dawa na kutuambia ingredients zinazofaa na zisizofaa ili apingane na watalaamu tunaowamini ili tusiwaamini.
 
alimpafomia nan mbona naona uwanja tupu 🤣🤣🤣🤣
Mjinga kama wewe haelewi kwamba IAAF
banned fans from Olympics games in Tokyo 😆😄, that's why we have television and social media!Same stadium with fans!
Screenshot_20210818-105000.png
Screenshot_20210818-105148.png
Screenshot_20210818-105121.png
 
To add on projects under Mombasa port expansion are..2nd phase of second container terminal, new oil jetty that can accommodate 4 vessels at a time, Kenya Navy slipyard for ship repairs and upgrade of mtongwe ferry jetty to enable both cars and people to use unlike now where cars aren't allowed. All projects are at an advanced stage of construction with 3 to be completed by before December.
 
Sasa hayo si yapo kwenye biology na chemistry,hoja sio kuongea chromosomes,antibodies,DNA au RNA bali kuja na descriptive research na kutuonesha contents za dawa na kutuambia ingredients zinazofaa na zisizofaa ili apingane na watalaamu tunaowamini ili tusiwaamini.
Gwajima hoja yake ndio hiyo sasa, ninyi mnaotulazimisha chanjo mtuambie ingredients na mseme kwanini nichanje wakati bado nitapata corona na natakiwa kuvaa barakoa na sanitisation? Hiyo ni chanjo? Kwanini watu wanakufa baada ya kuchanja? Usalama wako pindi unapochanja serikali haihusiki, bado niamini kitu ambacho wewe hukiamini?
 
Back
Top Bottom