dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
rafiki ni somalia, south sudan, uganda, rwanda, ethiopia. adui tu, ni tz kwa huu ukanda ikianza na the late JPM ku auction mangombe zetu na kuua vifaranga, sababu kuu, uwivu!. hivi ni wao ndo wanataka waonekane zaidi, ilhali threshold hawajaifikia. nairobi ama kenya kwa ujumla, inajulikana duniani kote. lakini darslam ama tanzania, bado sana. thts a blatant truth but watz hawatukubali, uzuri tumewazoeaNitajie nchi rafiki mmoja wa Kenya nikutajie nchi rafiki elfu moja wa Tz alafu utajiuliza nani ana jealous.












