Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I heard all your Provincial Commissioners are young girls now. 🤣 🤣

She is promoting gender equality while at the same time destroying competence.

Only incompetent and corrupt regime appoint people in leadership positions based on personal ties, or other silly criteria such as: gender.

With such a supersonic speed of silly governance, we shall soon join the league of thug states.
 
Kwani lazima viwepo? We kenge kila kiongozi alikuwa na kipaombele chake kwa mfano elimu kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu ilikuwa Sana enzi za JK,hapo ndipo tuliona shule za kata na UDOM.nk

In Kikwete's time, we were an inch away from becoming another failed state like Kenya and Nigeria.

It was one of the glorious opportunities for opposition parties to upset CCM in 2015 general election.

If you are not congruent with the facts laid down above, you are either not Tanzanian, plain stupid, or both.
 
Mdanganyika hii hawezi...............


Mnapenda
naipenda sana hii thread 'dar vs nbi'. coz kidogo hapa, naona hawa watz atleast walienda skuli, wanaelewa kingereza kiaći.. huko nje watz ni zuzu. kingereza kwao ilikuja na meli. ni swala geni sana😆 hawalibugii wala hawataki kuliguzia hata kidogo, sababu kuu, hawakielewi vizuri. ata ku craft one phrase ama sentence in english, kwao itakua ni bonge la issue😆
Sasa eti umeongea point kweli mkunya ni MTU wa ajabu ukanda huu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Denial will kill them....they are so jealous...you Wonder why only them in this Eastern Africa who hates our progress...Love your Neighbor as Your love yourself guy.... that's when you will be blessed...hatufai kujipendekeza kwao sana
Kamuulize mrwanda au mganda Kenya ikoje utapata majibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
naipenda sana hii thread 'dar vs nbi'. coz kidogo hapa, naona hawa watz atleast walienda skuli, wanaelewa kingereza kiaći.. huko nje watz ni zuzu. kingereza kwao ilikuja na meli. ni swala geni sana hawalibugii wala hawataki kuliguzia hata kidogo, sababu kuu, hawakielewi vizuri. ata ku craft one phrase ama sentence in english, kwao itakua ni bonge la issue

Kwani kingereza ni nini ewe mkunya?
 
Wanafikilia jina hutafutwa na maneno ,,,sisi tukinunua chakula wanaona ni as if wanatusaidia...vile watz wa hapa hujifeel ni kama kwao ni ulaya jameni...na ni hapa to JF,,,niko na mabeshte wa Tz madereva ukiwauliza kuhusu Barabara zao utashangaa to wako Karne gani

So basically you are a lorry driver,
No wonder una ubongo hafifu sana.
Pita kushoto.
 
rafiki ni somalia, south sudan, uganda, rwanda, ethiopia. adui tu, ni tz kwa huu ukanda ikianza na the late JPM ku auction mangombe zetu na kuua vifaranga, sababu kuu, uwivu!. hivi ni wao ndo wanataka waonekane zaidi, ilhali threshold hawajaifikia. nairobi ama kenya kwa ujumla, inajulikana duniani kote. lakini darslam ama tanzania, bado sana. thts a blatant truth but watz hawatukubali, uzuri tumewazoea
Mnafahamika kwa ukabila, slums kila kona, machokoraa yaliyojazana pembe zote za nchi, uwizi, ushenzi, udini, mabalaa ya kujitakia, njaa, kuomba omba kila nchi na kidoogoo ule mchezo wa kitumwa wa kukimbia kimbia, zaidi ya hapo ni nini kinafanya uamini kwamba mnafahamika? Kwa lipi hasa kanchi masikini, kadogo na kenye jangwa kote kote mfahamike kwa lipi na hamna msaada hapa duniani zaidi ya nyie kuomba msaada.
 
rafiki ni somalia, south sudan, uganda, rwanda, ethiopia. adui tu, ni tz kwa huu ukanda ikianza na the late JPM ku auction mangombe zetu na kuua vifaranga, sababu kuu, uwivu!. hivi ni wao ndo wanataka waonekane zaidi, ilhali threshold hawajaifikia. nairobi ama kenya kwa ujumla, inajulikana duniani kote. lakini darslam ama tanzania, bado sana. thts a blatant truth but watz hawatukubali, uzuri tumewazoea
Somalia c ndio mnagombania maeneo kila siku, Ethiopia mna urafiki naye tangu lini, Uganda umesahau kule malaba, Sudan c juzi tu mmegombana, Kenya hamna rafiki hata mmoja duniani hapa kwa roho mby yenu ya kuzaliwa mliyonayo, chuki na wivu wa kike.
 
Kwani makinikia yalipokuwa yanaibiwa tanzania awakuwepo waliokuwa wanatoa ufafanuzi wa kutetea wewe ni bonge la pumbavuu nani kakuambia ufafanuzi ndiyo unazuia ufisadi kumbuka hata pesa zilizo ibiwa kwa marumbesa zilitolewa ufafanuzi wa kutakasa kuwa ilikuwa sawa ,kumbuka hata ununuzi wa rada pia ulitolewa ufafanuzi pia kuwa ni sawa ila ukweli ni tofauti kwanini swala zito la makinikia lifanyike kwa kificho
mkuu usjafanye unajua sana matusi sio mie nlokuzaa na mtindio wa ubongo nyege zako pelekea mazaako!!

njoo na fact sio stress zako unataka kuambukiza watu apa serkal inamiliki %ngapi ya twiga company?
 
Wameumia😂😂 mimi nikijua umeumia waga ndo nazidisha dawa👇👇👇
IMG_20210817_210740.jpg
IMG_20210817_210742.jpg
 
Unaposikia makinikia yanatoka nje usifikili ni makinikia kweli huo ni mzigo unatoroshwa wa dhahabu nagu hakuzuia makinikia ila alidhuia dhahabu kamili kwa jina la makinikia sababu ukiruhusu makinikia kutoka nje unakuwa umeruhusu ujuma za kuibiwa madini yako
bro unajua makinikia ni nini?
makinikia ni makapi ya udongo yalio chujwa zahabu na kubakiza aina nyingine za madini kama copper silver even dhahabu yenyewe tz hakuna teknologia hiyo ndo maana makinikia yanapelekwa njee

eeh kwanza tusichoshane tufanye umeshinda
 
Back
Top Bottom