Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simba bwana acha kujitoa ufahamu .. mzee, tumenunua ndege 15, tumejenga international airports tatu, mbili zinamalizia ujenzi, tunatengeneza electric SGR phase 1,2&3, tunatengeneza BRT phase 2&3, tunajenga mji wa serikali wenye barabara za km 51 na dual carriage way 152km Dodoma pamoja na ukulu kubwa zaidi EA , tumetengeneza Rusumo hydro power plant. 225M, JNHP 2115M, Kinyerezi 1&2.. wind power plant ya Iringa.. tumejenga international bus terminal karibu kila mkoa pamoja na Dodoma & Dar es Salaam (mbezi Luis international bus terminal), tumejenga hospitals za kanda (referral hospitals) tatu, tumejenga na hospital kubwa EA mhimbili (mloganzira) .. tumejenga Madaraja makubwa EA kigongo busisi 3.2km, Tanzanite bridge 1.2km, kigamboni 800m, magufuli bridge 700m wami bridge 540m na mengine madogo kibao, tumejenga flyovers tano three ar under construction, tumepanua barabara na kujenga mpya karibu nchi nzima, tumejenga masoko makubwa karibu kila mkoa, tumejenga pia viwanja vya ndege vidogo vidogo maeneo tofauti tofauti.. hivi vyote ni ndani ya miaka mitano tu, je nyinyi mmefanya nini ndani ya miaka hiyo.? Hata tupigizane kelele humu.?
The Port of Mombasa has seen capacity enhancement to put it at par with the best in Africa. The construction of a second container terminal has seen the container throughput of the port rise from 894,000 to 1.1 million Twenty Foot Equivalent Units (TEUs). This makes it the fifth busiest port in Africa. The new container terminal is capable of handling fourth generation vessels of 6,000 Twenty Foot Equivalent Units capacity. This has improved cargo and container throughput by 4,425 tons and 206,000 TEUs respectively.
 
Simba bwana acha kujitoa ufahamu .. mzee, tumenunua ndege 15, tumejenga international airports tatu, mbili zinamalizia ujenzi, tunatengeneza electric SGR phase 1,2&3, tunatengeneza BRT phase 2&3, tunajenga mji wa serikali wenye barabara za km 51 na dual carriage way 152km Dodoma pamoja na ukulu kubwa zaidi EA , tumetengeneza Rusumo hydro power plant. 225M, JNHP 2115M, Kinyerezi 1&2.. wind power plant ya Iringa.. tumejenga international bus terminal karibu kila mkoa pamoja na Dodoma & Dar es Salaam (mbezi Luis international bus terminal), tumejenga hospitals za kanda (referral hospitals) tatu, tumejenga na hospital kubwa EA mhimbili (mloganzira) .. tumejenga Madaraja makubwa EA kigongo busisi 3.2km, Tanzanite bridge 1.2km, kigamboni 800m, magufuli bridge 700m wami bridge 540m na mengine madogo kibao, tumejenga flyovers tano three ar under construction, tumepanua barabara na kujenga mpya karibu nchi nzima, tumejenga masoko makubwa karibu kila mkoa, tumejenga pia viwanja vya ndege vidogo vidogo maeneo tofauti tofauti.. hivi vyote ni ndani ya miaka mitano tu, je nyinyi mmefanya nini ndani ya miaka hiyo.? Hata tupigizane kelele humu.?
The aviation sector has seen tremendous growth on the back of strong government investment. The upgrades in infrastructure and security at the Jomo Kenyatta International Airport has seen Kenya receive Category 1 status from the Federal Aviation Authority of the US government. This allows for direct flights between our two countries.

Locally, the Government has upgraded Airports and Airstrips Infrastructure to support expanded passenger capacity for local and regional flights. The expansion of specific airports was meant to focus on specific sectors e.g. expansion of the Kisumu Airport as a hub to support and service the Great Lakes Trade; Isiolo Airport to support the LAPPSET corridor, market the Isiolo resort city, and support the East Africa Miraa Industry; expansion and upgrade of Lamu and Malindi to support the tourism industry.

This has enhanced service standards across key airports and airstrips, improved safety and security standards, created employment opportunities and increased connectivity across counties and regions boosting trade.
 
Not bad projects but of all the projects you mentioned how many affect the general population altogether? How can a bride or a fly over affect someone back in the village?
The kenyan Govt has been investing in programs aimed at boosting Small & Medium Enterprises in the country. Incubation services at the Kenya Industrial Research & Development Institute is among such programs that have helped in creating more jobs for the young people just to name a few if it's those none beneficial projects like flyovers I can name for you alot coz the list is endless
Hakuna mahali/au kitu cha maendeleo utagusa sisi hatujafanya mzee, hiv unajua kwamba tz ukiachana na mafunzo ya kilimo, nowdays serikali inatoa pembejeo bure kabisa.? Kwenye ufugaji uko ndio usitaje kabisa, tumetengeneza machinjio za kisasa maeneo tofauti tofauti nchini, by the way sisi ndio tunaongoza kwa kufuga hapa EA, ndio mana mnatutegemea sisi kuwauzia vyakula tofauti tofauti, kuhusu huko vijijini usitaje kabisa, uko ndio tunawazidi sana, tumewekeza sana vijijini kwenye kilimo, ufugaji n.k, tumepeleka umeme, huduma za afya, mind u, kila KATA tz Ina zahanati yake, umeme tumeleka & miradi mikubwa ya maji, au unataka nitaje mmoja mmoja kwa majina.? Mana pia naweza
 
Mgekua mumetuzidi ingejionyesha kwa GDP so wacha Maneno ya porojo and speak facts
 
Kwani ni uongo kwamba chakula mnanunua kutoka kwetu.? Nyie sasahiv ni soko la bidhaa zetu.. hiyo ni ishara mbaya sana, ukubwa wa GDP yenu haiakisi yaliyomo ni porojo tu, mnaishia kukopa tu kila kukicha hata vi miradi vidogo vidogo hamuwezi kufanya wenyewe, ajabu zaidi hata na chakula mnapewa misaada na watu ambao Ardhi zao ni kame, alafu et mnauchimi mkubwa, uchumi wa kushindwa hata kujikimu chakula.? Hamtuwezi bhana huo ndio ukweli
 
Wewe inakaa shule ndo hujasoma vizuri ndo maana ni ngumu kuelewa maneno ya GDP... GDP ya nchi ikiwa kubwa it means monetary value of all finished goods and services made within that country kwa that specific period was high so meaning hata kama we might be buying some food from you, other sectors like manufacturing, other forms of agriculture we way ahead of you causing our GDP to rise.
 
Now am wondering when we lived with no oil, nor gas exports our economywas still one of the strongestin sub saharan africa what about now with The recent discovery of oil in turkana is it not likely to strengthen and boost Kenya’s economic growth even way more. And the fact that the northern part that used to not generate any income has started to open up and turning to beautiful tourist sites I think we soon will be unstoppable
 
Kwani ni uongo kwamba chakula mnanunua kutoka kwetu.? Nyie sasahiv ni soko la bidhaa zetu.. hiyo ni ishara mbaya sana, ukubwa wa GDP yenu haiakisi yaliyomo ni porojo tu, mnaishia kukopa tu kila kukicha hata vi miradi vidogo vidogo hamuwezi kufanya wenyewe, ajabu zaidi hata na chakula mnapewa misaada na watu ambao Ardhi zao ni kame, alafu et mnauchimi mkubwa, uchumi wa kushindwa hata kujikimu chakula.? Hamtuwezi bhana huo ndio ukweli
And the only reason we buy your food stuff is because while kenyas agriculture is mostly concentrated on cash crops Tanzania is concentrated on food crops like 85% of Tanzania agriculture is on food crops so get your facts right
Screenshot_20210809-024106_Adobe Acrobat.jpg
 
yaani KQ itasambaratika soon PAX wote wa Air France wa kuelekea Zanzibar na Dar kutoka Nairobi na wale wa KLM kuelekea Zanzibar toka Nairobi wanakata! Hawa wote AirFrance na KLM watawapeleka wenyewe!
Ni wakati wa ATCL nao kuanza safari za nbo
 
wahurumie mkali maana ukianzisha reality huwa wanapotea ,,kwani vilaza wakikenya wengi wao tulio nao hapa ni wale chokoraa type huwa hawajawahi toka nnje ya kenya....
ila watz wengi tulio humu inreality tunaijua nnchi yao sababu huwa tunaingia mara kwa mara kea kila baada baada ya mwaka au miaka[emoji1787][emoji1787]
tuendelee kuwaenjoy tu
Ki ukweli Kuzaliwa Tanzania ni neema kubwa ntaachia picha kadhaa za CBD Yao Na Eastleigh 😀😀😀
 
Wewe inakaa shule ndo hujasoma vizuri ndo maana ni ngumu kuelewa maneno ya GDP... GDP ya nchi ikiwa kubwa it means monetary value of all finished goods and services made within that country kwa that specific period was high so meaning hata kama we might be buying some food from you, other sectors like manufacturing, other forms of agriculture we way ahead of you causing our GDP to rise.
Kama World Bank na IMF wanasema Kenyan shillings is overvalued by more that 30% je GDP itakuwa imekaaje hapo. Hayo ni mambo ya kwenye makaratasi tuu haiakisi ukweli on the ground.
 
IMG_0286.jpg

By the way, How many storeys does this British tower in Kenya have ? It appears to be dwarf of all
 
Back
Top Bottom