komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kenya ilipata bridge la 4lanes miaka 40 iliyopita alafu anataka kushindana na kenyatuna madaraja kama hayo ya 400 m kibao Tanzania tena hatuyaongelei! Maskini babako!
Kenya ilipata bridge la 4lanes miaka 40 iliyopita alafu anataka kushindana na kenyatuna madaraja kama hayo ya 400 m kibao Tanzania tena hatuyaongelei! Maskini babako!
Mlijenga au Mjapani alijenga?Tulijenga bridges 80s na wala haturingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Make google your friend
Kenya hamna kitu nitabishana na wewe siku mkifika hii level na kuna madaraja mengine so kubishana na wewe ni kujishusha mfike hii level kwanzaHehehe!!nenda google utaziona, wakenya walianza kutembelea bridges kutoka 80s bana[emoji1787][emoji1787]
Naona umepanic
Mkifika hii level unishtue kwaheriKenya ilipata bridge la 4lanes miaka 40 iliyopita alafu anataka kushindana na kenya
Km alivyojenga ubungo na mfugaleMlijenga au Mjapani alijenga?
Mumekumbuka shuka wakati kumekucha, nyinyi mumezinduka karne hii bana usione hayo maneno yote..Mkifika hii level unishtue kwaheri View attachment 1885712View attachment 1885714
Kunyaland nzima haitakaa ipate bridge kama hiyo milele!Mumekumbuka shuka wakati kumekucha, nyinyi mumezinduka karne hii bana usione hayo maneno yote..
Ukweli ni usemwe, kenya matatizo madogo madogo ya madaraja sehemu kubwa tulisawazisha kitambo sna hata wengine wenu hawajazaliwa akina geza wakiwa chato km wawindaji haramu..Kenya hamna kitu nitabishana na wewe siku mkifika hii level na kuna madaraja mengine so kubishana na wewe ni kujishusha mfike hii level kwanzaView attachment 1885706View attachment 1885707
Bwahahaha!!nakwambia sehemu kubwa kuhusu madaraja tulimalizana nayo kitu 40yrs ago, sai ni ku implement sehemu chache zilizobaki..Kunyaland nzima haitakaa ipate bridge kama hiyo milele!
hebu tuletee hayo madaraja tuyaone!Bwahahaha!!nakwambia sehemu kubwa kuhusu madaraja tulimalizana nayo kitu 40yrs ago, sai ni ku implement sehemu chache zilizobaki..
Kwhyo hatufanani mzee
Nilipoona tuu ile mirangi rangi ya jeshi ya ajabu ajabu nikajua tuu ni nyang'au hawa.dah aisee hii kitu imenishtua nilijua Tanzania!
wahurumie mkali maana ukianzisha reality huwa wanapotea ,,kwani vilaza wakikenya wengi wao tulio nao hapa ni wale chokoraa type huwa hawajawahi toka nnje ya kenya....Mliokoo Nairobi karibuni kwa kibanda
Curtsesy of unknown restaurant and unknown street [emoji2] kabla ya kutwanga ma photo[emoji2]
View attachment 1885341View attachment 1885342View attachment 1885343
ngoja tuone final maana hawapo waziHilo sio daraja la kuepuka mambo ya Jangwani Kweli?
kuna nguzo zipo magomeni mikumi kutoka boma kuingia magomenidah sijaelewa mzee.. ok.. pale morogoro rd kuelekea boma.. pale kuna roundabout ambayo magari yanayotoka magomen-boma na mabibo-kko/jangwan yanakutana.. ndo hapo? na hio flyover ina uelekeo upi.. mfano tazara ni kutoka airport kwenda posta
Acha kuumia mzee[emoji1787][emoji1787]hebu tuletee hayo madaraja tuyaone!
Hapa ndo uwezo wenu ulipoishia! [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hapo kuna bonde ambalo pia hujaa maji kama mkwajuni na Jangwani, so nadhani wanawek elevated BRT lanes hapo.
Ukweli ni usemwe, kenya matatizo madogo madogo ya madaraja sehemu kubwa tulisawazisha kitambo sna hata wengine wenu hawajazaliwa akina geza wakiwa chato km wawindaji haramu..
Vyuma vipo 40yrs na bado vinafanya kazi bila bugdha yyte, eti anakuja mjinga mmoja hapa anaanza kuturingishia
Madaraja mliozoea kuyaona ni haya 👇😂😂😂Acha kuumia mzee[emoji1787][emoji1787]
Sai huna kitu kabisa umebaki kuhaha, madaraja kitu gani watoto wa 80s hku walikua wanayaona mpka wakazoea.