komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kheeeee!!GDP ndio hulipa madeni siku hizi[emoji1787][emoji1787]Mind u miradi ya umeme under construction hapa bongo ni kama 3500M hiv ... [emoji23][emoji23] GDP yenu inapanda kwasababu mnakopa sanaa 80% ya GDP yenu ni madeni .. Mimi sipimi maendeleo kwa GDP, twende ground mzee uko kwenye mambo za GDP ni uongo mtupu, hamuwezi kufanya chochote mpaka mkope, sisi tunajinasimu tupo vizur kwasababu tumeweza kuyafanya makubwa in just 5 years, na upo uwezekano mkubwa kwasasa tukawa tumewapita mbali sana
Leo utatuonyesha mengi walai, haya nionyeshe GDP bank account ya tz na madeni iliyochukua
5yrs wakati hicho ndio kipindi ambacho deni la taifa limepanda maradufu, marehemu muongo wewe