Acha bas kuongea uongo bhana bwana Simba, Madaraja sio priority.? [emoji23][emoji23], Haya mtaunganisha vipi mji na mji bila Madaraja.? Ninyi priority yenu nowdays so ni barabara.? Barabara mwenzake ni daraja.. kuhusu nishati wala hata usiguse mzee ivyo vi wind power vyenu si chochote kwa miradi ya nishati tunayowekeza kwa sasa, technology kubwaa kabisa, tuna gesi, Kinyerezi 1&2 power plant, tuna Julius Nyerere hydro power 2115M .. tuna Rusumo ..hizo zote ni ongoing constructions mzee .. mtatuambia nini kuhusu kuwekeza kwenye nishati kwa sasa.?