Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Huu mchezo wa partner wa KQ yaani KLM na Air France kucheza kotekote golini, ulinzi, kiungo na ufungaji ni mbaya! Yaani wanamfinya KQ kotekote kama ugonjwa wa matatizo ya Upumuaji! Halafu they r sitting in the KQ board making rescue-decisions for KQ.. 🤣 🤣 🙆‍♂️ 🙆‍♂️ 😳 😳
 
eti tz kuna angalau taa.. sasa kwako!?.. ni nchi gani inayo angaza zaidi usiku EA . less wee ni kipofu.
Last Mile Project sio mchezo babake.. sahivi tunafanya kitu inaitwa City-to-City-Jointing sawa na model ya SA. this is a 2021 Satelite Image by da way View attachment 1884806
Mbona Tanzania ndo kunawaka zaidi Kenya ni sehemu ndogo
 
1628440300988.png
 
dah sijaelewa mzee.. ok.. pale morogoro rd kuelekea boma.. pale kuna roundabout ambayo magari yanayotoka magomen-boma na mabibo-kko/jangwan yanakutana.. ndo hapo? na hio flyover ina uelekeo upi.. mfano tazara ni kutoka airport kwenda posta

Ukitoka magomeni mataa kama unaelekea boma sasa hapa mikumi kuna structure ya flyover

Mtaa wa ifunda ndio inapojengwa
 
Huu mchezo wa partner wa KQ yaani KLM na Air France kucheza kotekote golini, ulinzi, kiungo na ufungaji ni mbaya! Yaani wanamfinya KQ kotekote kama ugonjwa wa matatizo ya Upumuaji! Halafu they r sitting in the KQ board making rescue-decisions for KQ.. 😳 😳

hehee

kwa hizi ndege Qatar, KLM na zile za israel na turkey etc.. zanzibar airport must be accommodating a huge number of passengers
 
hehee

kwa hizi ndege Qatar, KLM na zile za israel na turkey etc.. zanzibar airport must be accommodating a huge number of passengers
That's well known AAKIA is on steroids as far as attracting new airlines since terminal III opening! Ila nachoongelea mimi ni jinsi KQ inavyoliwa kiboga maana kumbuka Air France na KLM ni main partners with codesharing na walikuwa wana-drop PAX JKIA halafu KQ inawaleta Kilimanjaro na Zanzibar! Around 25% ya PAX esp. tourists wanaokuja Tanzania walikuwa wanapitia JKIA! Sasa there won't be anymore feeding to the 30 years plus baby KQ!
 
hizo lanes za kati mbili ukichora sawa na hizo nyingine hapo unapata lanes tatu... so it’s 9-lanes highway
mimi naona nafasi kule upande wa nje kuna nafasi ya lanes za kutosha kama wavamizi wa road reserves watazuiwa! hapo kati ni nafasi ya mabasi na pia vituo vya mwendokasi! Si kubwa kihivyo...!
 
Back
Top Bottom