President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,666
- 94,321
Umesema una ni ignore vipi tena Mzee.Kumbe mshikaji mdini namna hii? aisee hii sumu unayotema humu inaonyesha ulivyo zero brain!
Mnawatisha na kuwaua viongozi wa kikristo. Mnataka Zanzibar iitawale Tanganyika. Hamtafanikiwa.
Sasa hivi mnawaua Family ya Mwalimu Nyerere mnataka kuipoteza History ya Tanzania.
What is your Motive on these Covid-19 Vaccines, I thought ni hiari, mbona unahamasisha sana?
Na hii ni new CBD ππππView attachment 1865969
VS Nairobi ya zamani..,
View attachment 1865970
Old CBD.,
View attachment 1865973
Mm nasoma alama za nyakatiππ mm sio kama wajinga nyinyi munapelekwa na jubilee kama kondooI'm sure hujaelewa anything imeandikwa kwenye hiyo gazeti.
Njoo kwanza dar nikupeleke sehemu ukale bata mpaka kuku aone wivu bure kabisa kila kitu juu yangu alaf baada ya hapo nitakuruhusu unilipie sasaπππππHaujui chochote, leta admission form ya Dodoma university nitakulipia karo semi-illiterate., utaelewa mambo soon π π
Na hii ni new CBD ππππ
View attachment 1870380
Will sure come over.., alafu pia tuogelee kwa maji ya chumvi.., coco beachππππNjoo kwanza dar nikupeleke sehemu ukale bata mpaka kuku aone wivu bure kabisa kila kitu juu yangu alaf baada ya hapo nitakuruhusu unilipie sasaπππππ
πππππ yani ni vituko aloooya zamani sana.., without upper hill sio kama yenyu ya hivi majuzi with three towers tayari zimesimama.., the best section.., vs the old.,
View attachment 1870387
View attachment 1870403
View attachment 1870404
View attachment 1870405
Building za kishamba sana, linganisha hiyo ya gorofa tatu ya majuzi na hii π π π π Nairobi ya 90s.., wapi nawapi..,
View attachment 1870406
Ww njoo ule bata kwanza mengine utakuja kusimulia baadae ππππWill sure come over.., alafu pia tuogelee kwa maji ya chumvi.., coco beachππππ
Hii naikubali black power city.100% African City,
Our city, we started building the City Right from Scratch na Sasa watu wanajawa wivu ikiwa huko kwao they can't bila Muzungu na Mchina, they can't.
The Black Power View attachment 1869385
Duh, sasa hii si level ya LDC π, Siitegemei kwa wakulungwa wenye nazo, mapesa watatu wananweza nunua hili dude au wamwite songoro walipe kwa instalment.Likoni hio ππππ utasema kondoo ndio wanasafirishwaView attachment 1870381