Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,105
- 31,356
Eti hiyo ni cbd [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kama hapo pamekufanya udhani ni cbd basi ujue dar ni hatari hapo ni kama km10 kutoka cbdMji wa kishamba kweli.., this time round tumefumania Dar.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] iko wazi CBD yao ni ndogo sana!, ukubwa wa dar ni makazi za watu wa kawaida uchwara.., huwa wanaweka picha ki upropaganda, wameficha ukweli wasio upenda, hizi migorofa wameweka humu mara mingi kwa angle tofauti, kwa karibu, wakificha haya makazi ya watu wa kawaida.., zoom out ujionee kwa karibu..,..,
View attachment 1862202