Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mji wa kishamba kweli.., this time round tumefumania Dar.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] iko wazi CBD yao ni ndogo sana!, ukubwa wa dar ni makazi za watu wa kawaida uchwara.., huwa wanaweka picha ki upropaganda, wameficha ukweli wasio upenda, hizi migorofa wameweka humu mara mingi kwa angle tofauti, kwa karibu, wakificha haya makazi ya watu wa kawaida.., zoom out ujionee kwa karibu..,..,
View attachment 1862202
Dogo katizame picha za wakenya wenzio waliokuja Dar miezi 3 iliyopita...
 
Dogo katizame picha za wakenya wenzio waliokuja Dar miezi 3 iliyopita...
Nimezitazama kwa wingi, na sio tu wakenya pekee, ata wazungu, in 2021., kuna sehemu za kupendeza sana kama vile pwani ya kenya, akina Mombasa hivi., na pia kuna sehemu kubwa Dar zaidi ya 70% ya makazi hovyo hadi wa leo hii ninapo type sasa hivi.., ama kuna jipya yenye sijui unijuze bro?..,,
 
Hayo maendeleo "kubwa mno" yako wapi ni 2021 hatuyaoni., ama ni SGR ya umeme? ni nini hizo mnajenga tuzione humu., maana kila kitu mmeanika na bado mnaendelea kuongeza mifukara ukanda huu.., Dar ndio ilisimama, haisongi tena!., ufukara ndio inapanua mji iwe kubwa., bado roads hamjakaribia Nairobi.., so ni nini hizo mnajenga hadi waleo miaka zaidi ya tano sasa!!.., ama ni Kibaha??.., what????.., domo domo tu.., 😂 😂 😂
Chillax bro!!!🤣🤣🤣!!!Povu mingi mingi sana!!!Mlishapewa orodha ya miradi ya kimkakati na tunawaupdate status yake mara kwa mara!kabla sijakutajia miradi kadhaa ya kuboresha jiji la Dar es Salaam nikupe ufafanuzi wa BRT phases,tunapojenga BRT tunafumua barabara yote tunazisuka upya kuanzia lanes zenyewe za BRT barabara kwa ajili ya magari mengine, sidewalks,vivuko vya watembea kwa miguu, barabara za juu,mitaro, signage pamoja na taa za kuongozea magari na taa za barabarani,all of them are new!!!sasa nakupa homework katazame BRT phases zinapita wapi na wapi kuanzia ya kwanza mpk ya tano ambazo ziko kwny pipeline tayari!!!.
 
Dar CBD.., naona flats hapo chini around 3 buildings!, kuna moja mtu kaanika nguo.., yaani CBD na watu wanaishi, Kabul, Afghanistan😂, hapa na Easleigh hakuna tofauti kabisa ndio wanaita CBD.., Westlands pekee kills Dar! 💪
View attachment 1862180
Ata Kilimani👇👇 iko juu sana ya hii upuzi hapa👆👆 modernity vs ushamba..,
View attachment 1862172
HONESTLY IF THIS IS THE CBD YA TZ THEN THERE IS SURLY NOT POINT ARGUING WITH THESE BAFOONS...just look at kilimani residential estate in nairobi vs that old cofused town of Dar ......alaaaaaaaaaa
 
Chillax bro!!!🤣🤣🤣!!!Povu mingi mingi sana!!!Mlishapewa orodha ya miradi ya kimkakati na tunawaupdate status yake mara kwa mara!kabla sijakutajia miradi kadhaa ya kuboresha jiji la Dar es Salaam nikupe ufafanuzi wa BRT phases,tunapojenga BRT tunafumua barabara yote tunazisuka upya kuanzia lanes zenyewe za BRT barabara kwa ajili ya magari mengine, sidewalks,vivuko vya watembea kwa miguu, barabara za juu,mitaro, signage pamoja na taa za kuongozea magari na taa za barabarani,all of them are new!!!sasa nakupa homework katazame BRT phases zinapita wapi na wapi kuanzia ya kwanza mpk ya tano ambazo ziko kwny pipeline tayari!!!.
Brt phases zitapanua aje uchumi? What is the return of investment? Kuna projects ni za kurahisisha maisha ya wananchi na zingine for purely economic value so jua mume invest more in which
 
Chillax bro!!!🤣🤣🤣!!!Povu mingi mingi sana!!!Mlishapewa orodha ya miradi ya kimkakati na tunawaupdate status yake mara kwa mara!kabla sijakutajia miradi kadhaa ya kuboresha jiji la Dar es Salaam nikupe ufafanuzi wa BRT phases,tunapojenga BRT tunafumua barabara yote tunazisuka upya kuanzia lanes zenyewe za BRT barabara kwa ajili ya magari mengine, sidewalks,vivuko vya watembea kwa miguu, barabara za juu,mitaro, signage pamoja na taa za kuongozea magari na taa za barabarani,all of them are new!!!sasa nakupa homework katazame BRT phases zinapita wapi na wapi kuanzia ya kwanza mpk ya tano ambazo ziko kwny pipeline tayari!!!.
Hazikwishi? mnapiga kifua kwa vitu ambavyo tulisha yafanya, yaani mataa za barabarani eti ni ya maana sana kwa mtanzania? 😂 😂 😂 pia interchanges na flyovers zinakutia kiwewe? , hizi hadithi za vijiweni na abunuasi baki nazo wewe.., nchi haina hela ni domo domo tu na mipangilio bila matokeo sambamba na domo domo., yenye yako kwa pipeline ngoja yatoke nje kisha uje., so far sioni anything ya maana sana going on in Dar.., bado sana dogo., tulia, wacha mihemko bure.
 
Screenshot_2021-07-19-19-43-11-59.png

Screenshot_2021-07-21-14-54-47-51.png

Screenshot_2021-07-19-19-43-11-59.png
Screenshot_2021-07-19-19-43-11-59.png
Screenshot_2021-07-21-14-54-33-80.png

Outering road.
Screenshot_2021-07-21-14-49-11-41.png

Screenshot_2021-07-21-14-55-34-39.png
 
Tanzania nowhere near top 20!!!.
Most Developed Countries In Africa 2021

Hover over a tile for details.

A developed country is defined as a sovereign state that, compared to other nations, has a developed economy and technologically advanced infrastructure.
Every year, the United Nations Development Program releases a report that outlines indices and indicators of human development. The report gives an overview of the state of development worldwide and identifies improvements in nations, including those that are developing or developed. To determine if a country is developed, the United Nations Development Program uses the Human Development Index (HDI).

HDI is quantified by looking at a country's human development, such as healthcare, education, and life expectancy. HDI is set on a scale that ranges from 0 to 1, with four different classifications of low human development (0-.55), medium human development (.55-.70), high human development (.70-80), and very high human development (.80-1.0).
Most developed countries have a score of at least .80 and are considered "very high human development." One of Africa's 54 countries is considered to have "very high human development:" Seychelles. Seven African countries have "high human development":
  1. Seychelles (.801)
  2. Mauritius (.796)
  3. Algeria (.759)
  4. Tunisia (.739)
  5. Botswana (.728)
  6. Libya (.708)
  7. Gabon (.702)
Seychelles is Africa's most developed country with an HDI of .801, just making the "very high human development" threshold. Seychelles is ranked 62 in HDI rankings and has a life expectancy of 73.7 years. The country's economic growth is mainly driven by tourism, and the GDP has increased nearly sevenfold since 1976. Algeria has an HDI score of .759 and is the third most developed country in Africa. Algeria currently has the highest life expectancy of all African countries of 76.3 years.
Despite the progress that Africa has been making in terms of life expectancy and the economy, many countries still face issues such as poverty, inequality, and conflict.
Below is each African country's Human Development Index score.

Most Developed Countries In Africa 2021​

Show Sources
Human Development Index
0.55

Most Developed Countries In Africa 2021​

Show Sources
CSV JSON
CountryHuman Development Index 2021 Population
Seychelles0.80198,908
Mauritius0.7961,273,433
Algeria0.75944,616,624
Tunisia0.73911,935,766
Botswana0.7282,397,241
Libya0.7086,958,532
South Africa0.70560,041,994
Gabon0.7022,278,825
Egypt0.7104,258,327
Morocco0.67637,344,795
Namibia0.6452,587,344
Sao Tome And Principe0.609223,368
Eswatini0.6081,172,362
Republic Of The Congo0.6085,657,013
Ghana0.59631,732,129
Zambia0.59118,920,651
Equatorial Guinea0.5881,449,896
Kenya0.57954,985,698
Angola0.57433,933,610
Zimbabwe0.56315,092,171
Cameroon0.56327,224,265
Comoros0.538888,451
Rwanda0.53613,276,513
Nigeria0.534211,400,708
Uganda0.52847,123,531
Tanzania0.52861,498,437
Mauritania0.5274,775,119
Madagascar0.52128,427,328
Benin0.5212,451,040
Lesotho0.5182,159,079
Ivory Coast0.51627,053,629
Togo0.5138,478,250
Senegal0.51317,196,301
Sudan0.50744,909,353
Malawi0.48519,647,684
Ethiopia0.47117,876,227
Gambia0.4662,486,945
Guinea0.46613,497,244
Liberia0.4655,180,203
Guinea Bissau0.4612,015,494
Sierra Leone0.4388,141,343
Eritrea0.4343,601,467
Burkina Faso0.43421,497,096
Mali0.42720,855,735
Burundi0.42312,255,433
South Sudan0.41311,381,378
Chad0.40116,914,985
Niger0.37725,130,817
Somalia16,359,504

Most Developed Countries In Africa 2021​

Show Sources
  1. Here are Africa's most developed countries in 2018
 
Hazikwishi? mnapiga kifua kwa vitu ambavyo tulisha yafanya, yaani mataa za barabarani eti ni ya maana sana kwa mtanzania? 😂 😂 😂 pia interchanges na flyovers zinakutia kiwewe? , hizi hadithi za vijiweni na abunuasi baki nazo wewe.., nchi haina hela ni domo domo tu na mipangilio bila matokeo sambamba na domo domo., yenye yako kwa pipeline ngoja yatoke nje kisha uje., so far sioni anything ya maana sana going on in Dar.., bado sana dogo., tulia, wacha mihemko bure.
Huku hatupangi matofali au kuchora lipstick tunafanya vitu vya uhakika boss.
 
Tanzania people are so delusional just lie to them with shiny big projects they will go shouting alover without really questioning the return of investment of the projects
Have ever thought of your expressway currently under construction au unajisema mwenyewe?
 
Usidanganyike na makaratasi kijana KE cant do a single project without loans it is a well known fact
Sasa jiangalie si hata hizo Maneno za loans bado mnaskia makaratasini tu so you want to believe the bad but ukatae the good hehe very funny double standards indeed. And Tanzanians are very funny they brain washed to believe anything positive about them on the internet is true but anything negative is fabricated very funny mentality si basi mjitenezee mitandao yenyu
 
Have ever thought of your expressway currently under construction au unajisema mwenyewe?
ignorance inafanya ujipige risasi kwa mguu., expressway has a huge imapct on Kenya's economy u idiot., what we lose on traffic jam along that road per day is huge!., ama wewe ulikua unaangalia loan ya kujenga na sio faida or impact to Nairobi's economy?
 
Have ever thought of your expressway currently under construction au unajisema mwenyewe?
One thing that you people dont know is most people who will be using it actually are guys in transit even Tanzanians on transit use that road so it will be paid collectively but it will stay in kenya
 
Back
Top Bottom