Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar kijiji, soko kila pahali.

Dar CBD.., naona flats hapo chini around 3 buildings!, kuna moja mtu kaanika nguo.., yaani CBD na watu wanaishi, Kabul, Afghanistan😂, hapa na Easleigh hakuna tofauti kabisa ndio wanaita CBD.., Westlands pekee kills Dar! 💪
1626865417438.png

Ata Kilimani👇👇 iko juu sana ya hii upuzi hapa👆👆 modernity vs ushamba..,
1626865089943.png
 
Weka picha za makazi unapoishi wewe mwenyewe zen twende kwenye hizo estates wanazoishi wafanyabishara na wafanyakazi wenye kipato cha kati au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuanze kupost makazi yetu 🤣🤣🤣🤣🤣nimeipenda hili wazo❤️
 
Weka picha za makazi unapoishi wewe mwenyewe zen twende kwenye hizo estates wanazoishi wafanyabishara na wafanyakazi wenye kipato cha kati au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya makazi yanajengwa kwa estates, in well organized area, kuna mpangilio., zenyu ziko kiholela amuwezi ziita estates, ila ni estates, but confused ones, angalia hizo umeweka sasa ni upper class in dar., nyie wengine wengi wa kawaida na the so called middle class ni hapa 👇 👇 dogo.., watu hawawezi kumiliki magari hapa, wata park wapi, njia panya kwa wingi😂😂..,
1626865803840.png

1626865774682.png
 
Very disorganized city, development inafuata lami. Mwingine akiogelea kwenye rooftop swimming pool mwingine anaoga ndani ya ndoo hapo chini yake.

View attachment 1862188
Mji wa kishamba kweli.., this time round tumefumania Dar.., 😂 😂 😂 iko wazi CBD yao ni ndogo sana!, ukubwa wa dar ni makazi za watu wa kawaida uchwara.., huwa wanaweka picha ki upropaganda, wameficha ukweli wasio upenda, hizi migorofa wameweka humu mara mingi kwa angle tofauti, kwa karibu, wakificha haya makazi ya watu wa kawaida.., zoom out ujionee kwa karibu..,..,
1626866791189.jpeg
 
hebu leteni drones shots za miji zenu zingine kavile iringa, mbeya, morogoro, etc. so we compare with this one of kericho, tuone mji gani noma zaidi

Hawawezi.., ziko youtube.., kama tu Mwanza second City ni hovyo kwa muonekano wa drone view, zingine zitakuaje?.., youtube ujionee mwenyewe., kila kitu kiko wazi EAC.,
 
YAANI JUZI NILIOTA ATI MIMI NI MTANZANIA ...NILISHTUKA KWA NDOTO NA KUIKEMEA SANA.....YAANI HIVI SASA NIANZE KUWA NA AKILI YA KI KAKA EH KAKA OH...HAAAAAPANA
 
HUKU NDIO DAR HUKO KUNA SIFIWA NA MBONGO LALA FULANI HAPA...YAANI TOWN IMEJAAA SHANTYZ
Travel there ujionee mwenyewe, hawapendi ukweli, ila wanapenda kupiga kifua na bado hawajafika.., they are way below on average!
 
Back
Top Bottom