Hizi data zako ckutaka kujisumbua kuzisoma mana nilijua unajisumbua tu, ss nmezisoma na nmegundua wewe hujaenda shule au yawezekana hukusoma hesabu kabisa.
Ukiangalia hizo data uchwara mlizoshindwa hata kuedit ili kuendana na uhalisia ziko hivi [emoji116][emoji116]
2016 Trunk roads paved zilikuwa 7,753 km
2017 Trunk roads paved zikawa 8,211 km
2018 Trunk roads paved zikashuka badala ya kupanda, zikawa 7,989 km, hii inamaanisha kuna sehemu roads zilibomolewa maajabu haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zen 2019 zikapanda kdg zikawa 7,990 km
2020 Trunk roads paved zikawa 8,112 km.
Hivyo hivyo kwenye Paved Regional Roads uozo huo huo mmeusahau ku edit.
Mwisho kabisa ume totalize kilometers za Paved trunk roads na Regional Roads ukaacha ku include paved local roads ambazo pia kuna data za miaka 3 hazipo.
Hii inaonesha ni jinsi gani Wakenya hamuwezi kusoma statistics, kila mnacholetewa mnakibeba kama kilivyo, nimalize kwa kukupa home work, fanya icho kitu nimekufundisha sahivi alafu nazani jibu utakuwa umelipata, mbwa kweli wewe.
View attachment 1862528