The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,873
- 82,535
Hehehehee piga mbwa hawaPlease huku kwenye aviation naomba unyamaze maana ntakupasua vibaya sana this is my football pitch!!!Kwanza hizo figure haziko sahihi there are wrong take it from me. Elewa mmefanya vibaya sana mwaka jana na katikati ya mwaka huu imagine KQ route tu ya Dar-Nairobi ambayo ilikuwa moja ya tegemeo lenu kwny biashara mmekata route from 14 kwa wiki mpaka 4 maana yake ni negative 10 bado sijagusa route nyingine to and from JKIA..mko hoi. Takwimu halisi za Jomo Kenyatta International Airport za abiria haziwezi kuwekwa hadharani maana ni aibu kubwa,Tofauti ya Traffic JNIA ni ndogo sana mwaka jana na miaka ya nyuma na imekuwa boosted zaidi na Domestic flights ATCL amefanya vizuri sana na anaendelea kufanya vizuri!!!Shut up fool!!! kabla sijatoka nje ya misingi ya kazi yangu.
Mnakuwa kuelekea slumStill it wount reach close to us because we growing at a fast rate tooView attachment 1862773
Anakera anaongea vitu hata havijui yupo yupo tu!!!!.Ndo tatizo ya ulevi wa gundi 🤣🤣🤣🤣Hehehehee piga mbwa hawa
a.kdyfre hii ni singida
Wimbi lime change sasa, km ni hvo hata nyinyi mwaka jana si mliua watu tena kweupeeLast election yenu mliishia kumuua Director/mtaalamu wa IT wa tume yenu ya uchaguzi. Hakuna uchaguzi unaopita Kenya bila kumwaga damu hata ya mtu mmoja kwa sababu za kisiasa. Na safari hii amin amin anakwambia hamtatoka salama uchuguzini japo hatuombei iwe hivyo maana watakaokufa ni mostly innocent people.
Wasije weka vibanda tu hapoView attachment 1862460
View attachment 1862461
imagine unatembea kutoka morocco hadi mwenge kwenye walkways bila shida yoyote
Ingekuwa enzi za Magu wangeweka mana mkuu aliwadekeza sn.Wasije weka vibanda tu hapo
2022 kazima wakunya mjambe cheche wewe chimba andaki la siri mapema na kuifadhi chakula za miezi mitatuWimbi lime change sasa, km ni hvo hata nyinyi mwaka jana si mliua watu tena kweupee
Wewe kweli kichaa hata hata mombasa +nairobi weka zote amwezani na darya mombasa tu inatosha