Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna wenye wanatamani mji wao ujengeke hivi😂🤣😂🤣.

This is affordable housing project in Ngara.


tapatalk_1626890502155.jpeg
tapatalk_1626890505069.jpeg
tapatalk_1626890507138.jpeg
tapatalk_1626890509210.jpeg
tapatalk_1626890511487.jpeg
 
Alaaa!!umekuja kumkomboa mjinga mwnzako na wakati huu wimbo uliimbwa sana jf lkn maombi yenu yakaangukia pua..
Hizi sio zama za wale wapumbavu wa 2007, km unapinga omba uwepo mpka mwaka kesho ndio muumbuke vizuri kw mara nyingine tena[emoji1787]
Last election yenu mliishia kumuua Director/mtaalamu wa IT wa tume yenu ya uchaguzi. Hakuna uchaguzi unaopita Kenya bila kumwaga damu hata ya mtu mmoja kwa sababu za kisiasa. Na safari hii amin amin anakwambia hamtatoka salama uchuguzini japo hatuombei iwe hivyo maana watakaokufa ni mostly innocent people.
 
These days si comment. Na fuata kimyakimya. Nilikuwepo ulipoanza huu uzi na Emc2 wakati huo akiitwa vingine.
Ila muda huu nimependa ukakamavu wa Watz. Licha ya kupewa facts, raw and authentic data show how Tz compares poorly to Kenya, they put on a brave face and still argue.

Kuna mambo machache Tz imezidi Kenya kiukweli.
-Vituo vya mabasi
-SGR ya Tanzania kama kweli watazinunua treni kama inavyoonekana kwenye mitandao ya TRC

Hayo ndio mambo nimeyakubali . Mengine yote sioni ubishi. Watanzania wakubali. Sio aibu kukubali kushindwa.

NB. SGR SPEEDS OF KENYA AND TANZANIA IS THE SAME.
KENYA PASSENGER TRAINS MAXIMUM SPEED IS 158
TZ MAXIMUM SPEED IS 160. NO BIG DIFFERENCE.
 
Talk about taking Lemons and making a Lemonade, 3 years ago, Boni Forest Used to be Alshaab Training ground, but today, KDF has taken Over and are utilizing it to sharpen their skills


C IN C
20210721_213202.jpg
 
Sijui vipi Wakenya humu!? Mbona huwa hamuwapi taarifa za mapema Watanzania!? Au mnataka kuwashirikisha tu mambo.

Je mbona hamjawapa habari kwamba Nairobi kuna tower 12 over 30 floor each zinajengwa!? Zinakamilika 2022!?

Je mbona hamuwaambii kuwa kuna towers 15 floors above 20 zinajengwa na kukamilika ni 2022??


Humwajuzi kwamba kuna towers 32 of over 15 floors each zinajengwa kukamilika 2022!?

Wape vidonge mapema wasije kushangaa kama alivyopigwa butwaa chakari kakangu wa babu wa Kiarabu ichoboy01 na express way!!!
 

COMPANIES

UAP gets more time to settle Sh8bn Old Mutual, Stanbic loan​

WEDNESDAY JULY 21 2021
UAPInsurance

UAP Insurance Building in Nairobi. FILE PHOTO | NMG

Insurance Group UAP Holdings has restructured Sh8 billion worth of loans from its parent company Old Mutual Holdings and Stanbic Bank, delaying the repayment of the credit facilities by two one to three years.

A Sh2.2 billion loan from Stanbic Bank, which was to mature in January 2021, will now be paid in 2024.

“This refinancing arrangement was concluded after year end in February 2021. The new facility is for a term of three years,” UAP says of the Stanbic loan in its latest annual report.

The insurer took the bank loan on July 17, 2019 and used it to repay its corporate bond that was maturing then. The Stanbic loan attracted an interest rate based on the Central Bank Rate (currently at seven percent) plus a 1.5 percent margin.

A Sh5.8 billion loan from South Africa-based Old Mutual, which has a 66.7 percent stake in the insurer, was also due in January 2021 and will be paid next year.

“By mutual agreement with the directors of Old Mutual Holdings Limited, the maturity date of the loans maturing in January 2021 totalling Sh5.8 billion have been extended to 2022 as the directors make arrangements to settle the loan,” UAP says in the report.

Part of the Old Mutual loans were used to retire a Sh3.3 billion facility from South Africa-based Nedbank last year.

The Old Mutual loans have variable interest rates ranging from 7.6 percent to 11.1 percent based on margins added to various benchmarks including the CBR and 3-month London Inter-bank Offered Rate (Libor).

This is the latest loan restructuring at UAP following the insurer’s renegotiation of credit facilities (including those provided by Old Mutual and Stanbic) totaling Sh10.1 billion in 2019.

UAP is also renegotiating the terms of other loans after breaching them.

“During the year, a breach was recorded for the Norfund and IFC facilities in UAP Properties South Sudan. The balance outstanding on the two facilities as at December 31, 2020 was $3.3 million (Sh357 million) split equally between both lenders,” the insurer said.

“Repayments continue to be made on the loans timeously. To remedy the breach, management is engaging the lenders to renegotiate the covenants.”

UAP’s borrowings rose to Sh13 billion in the year ended December from Sh11.4 billion a year earlier while interest expenses over the period declined to Sh1.1 billion from Sh1.2 billion.

The insurer reported a net loss of Sh1.3 billion in the year ended December, narrowing it from Sh3.4 billion a year earlier.

 
Kuishi Tanzania ni sawa na kuchomwa jehanamu sababu Mama Samia Suluhu amegeuka kua magufuli bila Kupigana risasi za lissu.

Kenya tuwe tayari kuwapokea political refugees wa 6th regime ya Tanzania
Screenshot_20210721-213736.jpg
 
Kuishi Tanzania ni sawa na kuchomwa jehanamu sababu Mama Samia Suluhu amegeuka kua magufuli bila Kupigana risasi za lissu.

Kenya tuwe tayari kuwapokea political refugees wa 6th regime ya TanzaniaView attachment 1862691
Oposition wa Tanzania ni washamba Tu wameshaishiwa wamebaki kutapatapa.mimi sio mwanachama wa Chama chochote though
 
Back
Top Bottom