Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1626703039630.png

NYAYO HOUSE
 
Huyo anarekebisha ushamba wake kwa gharama zetu, alikuwa hajui kama EMU hazigeuzi bali ikifika kile kichwa cha mbele kinazimwa kinawashwa cha nyuma zen safari inaendelea, angalia swali lake hapa View attachment 1859557

Wapi ulipoandika geuza au geuzia, hebu nioneshe nione View attachment 1859809
😂😂😂😂 Halafu anajifanya eti anajua kiswahili na yeye 😂😂 kumbe hata mtoto wa darasa la saba anaweza kumfundisha Kiswahili huyo mbuzi,.. nimempa maelezo ya mada ya sarufi na matumizi ya lugha class seven, anasema eti nime google 😂😂😂 .. nna mashaka huenda huyu ni mpuuzi tu wa mtaani hata shule hajasoma..
 
Akuna kitu unaweza zaid ya kuja n excuses every time kwaiyo ulitak tusiburudike na umbaji wa Mungu?
Huo ni uzembe km taifa, yani nchi nzima watu wanakosa kitu cha kufanya zaidi ya kuwaza makalio mwishowe wengine wanaishia kwenda na vigodoro..
Manale sasa akitoka bila ataonekana mzembe na wazembe wenziwe
 
Back
Top Bottom