Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Watu wamebaki na maneno ya kwenye khanga tu hku mturuki anawagongelea mbaya mbaya
Naona mtoto kakuvalia lebo kubwa chini[emoji1787][emoji1787]TZ BEAUTY [emoji1787][emoji38]View attachment 1859607View attachment 1859607
Ujenzi unaonesha unaenda kwa kasi sana.Ndio yenyewe
Kenya watoto wakali kibao, sema tu hujatembea kenya..nyie mnafikiria kenya ni kisii tu..
mtoto mdogooo mchawi mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu[emoji90][emoji90]Watu wamebaki na maneno ya kwenye khanga tu hku mturuki anawagongelea mbaya mbaya
Hili jengo nililitafuta mitandaoni lkn nikaambulia patupu walai, asante kw kutuletea hii picha..Burhani tower, Mombasa nasema kila siku imezidii darView attachment 1860114View attachment 1860115
Mgiriama au mdigo huyo,booster ya kibongo hiyo,ukienda juu kule mnaboostiwa na somalia,ingia huko machakani ndio utakumbana na kina doris ndala ndefu wana sura kama baba zaoKenya watoto wakali kibao, sema tu hujatembea kenya..nyie mnafikiria kenya ni kisii tu..
Hivi utasema huyu mtoto wa kabila ganiView attachment 1860112
Hyu kiufupi kibongo bongo wanasema "mlugaluga"
Nimewapeni leakage jamani, ukipata kabila lake nakulipa
Wadigo tz walifanya kuingia tu[emoji1787][emoji1787]Mgiriama au mdigo huyo,booster ya kibongo hiyo,ukienda juu kule mnaboostiwa na somalia,ingia huko,ingia huko machakani ndio utakumbana na kina doris ndala ndefu wana sura kama baba zao
BORANA CHICKenya watoto wakali kibao, sema tu hujatembea kenya..nyie mnafikiria kenya ni kisii tu..
Hivi utasema huyu mtoto wa kabila ganiView attachment 1860112
Hyu kiufupi kibongo bongo wanasema "mlugaluga"
Nimewapeni leakage jamani, ukipata kabila lake nakulipa
😂 Vitu vitamu sio... Itabidi nimefika! 🤣Hili jengo nililitafuta mitandaoni lkn nikaambulia patupu walai, asante kw kutuletea hii picha..
Kuanzia 2019 dec hapo hao jamaa walianza ku clear site, lilipoanza kwenda juu nikajaribu kulisaka lkn nikaambulia patupu na kuufyata
Lipo kona bondeni opposite na msikiti Noor pale kando utakutana na gulf bank ya pili iko na hoteli kabisa..
Kuna jamaa hapo chini kw pembeni rqmadhanini anauza vitu vitamu vitamu kweli...customer wake mkubwa
Hyo ni M'ilwana jamaa anakuja sijui na booster za kibongo mara sijui nini[emoji1787][emoji1787]BORANA CHICView attachment 1860193
Emu tulia mzer baba, hao majama kw vifungasho nimewapa tiki..[emoji23] Vitu vitamu sio... Itabidi nimefika! [emoji1787]
Hapo hakuna mgiriama, mdigo wala msonjo! 🤣 🤣 🤣 🇰🇪 🔥🔥🔥👇Mgiriama au mdigo huyo,booster ya kibongo hiyo,ukienda juu kule mnaboostiwa na somalia,ingia huko,ingia huko machakani ndio utakumbana na kina doris ndala ndefu wana sura kama baba zao
Pisi mbovu kinomaHapo hakuna mgiriama, mdigo wala msonjo! 🤣 🤣 🤣 🇰🇪 🔥🔥🔥👇
View attachment 1860227
View attachment 1860230
View attachment 1860232
View attachment 1860235
View attachment 1860239
View attachment 1860240
View attachment 1860241
View attachment 1860243
View attachment 1860244
View attachment 1860245