ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wenzetu safaricom yao inakomba zote hizo.. zinawaachia wengine wagawane 1m
Safaricom hana mpinzani kenya 😂😂 waliobakia wote ni ushuzi mtupu
wenzetu safaricom yao inakomba zote hizo.. zinawaachia wengine wagawane 1m
Ila Halotel anakuja polepole but sure! In the next 5 years atakuwa ndani ya top 3!Safaricom hana mpinzani kenya 😂😂 waliobakia wote ni ushuzi mtupu
Tena anakuja kwa kasi sana halotelIla Halotel anakuja polepole but sure! In the next 5 years atakuwa ndani ya top 3!
🔥🔥🔥Kama Italy vile
MO DWEJI sio m'bongo??? 😂 😂 😂Wanapost wasomali eti ndo Wakenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akuna kitu unaweza zaid ya kuja n excuses every time[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwaiyo ulitak tusiburudike na umbaji wa Mungu?Haiwezekani watu wazembe waweze kuwaza vitu vya msingi..
Kuna watu wamebeba na wapo kimya wametulia
Dah hili parachichi la wapi aisee mbona mkasi hiv!!!!!
Mbona na wewe una Kalio [emoji39]Nchi yenu ina wazembw wengi mpka kila mtu anawaza makalio tu[emoji1787][emoji1787]
Ikiwa mpaka ma star wanavaa vigodoro kisa wowowo, sasa hapo mtasema ni akili kweli au ni janga la taifa
Kama sio hisani ya wachina apo panachakazwa hands down[emoji1]
Huyu ni mwanamme au mwanamke?TZ BEAUTY 🤣😆View attachment 1859607View attachment 1859607
Msaada wa mchina kweli mchina kawapatia 😂😂😂😂 anaichukua nchi kimtego tegoGTC Skybridge
View attachment 1859691