Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani nikiamua kupost wanawake hapa nitajaza server..
Acha nikome na haka ka kule, kanapatikaniwa sehemu za mbali..
Barakoa itakusaidia mtoto wa wenyewe wasije wakaipeleka sura ugangani haya msehtani ya south
20210719_231422.jpg
 
Wachawi wanakwambia hizi sio stasheni wao wanataka vyoo kwao hawana imani km baada ya miaka kumi pataendelea manake sio uzembe ule..

Eti wanasingizia hawataki stesheni kubwa kubwa, sasa hapa kuna stesheni kubwa wakenya wenzangu au ni macho yangu
images.jpeg-44.jpg
images.jpeg-46.jpg
images.jpeg-48.jpg
 
Chunga usinidondoshe maudenda, next visit nitapafika inshallah
Hapo ni Ramadhani mpka Ramadhan, mwaka wa sita huu bado nipo nao tu..tangia 2015 unafikiria mchezo wewe mtu kila msimu ukifika anawaza kuja kuzuru maeneo yako tu kw ajili ya "vithamuthamu"
Kuna watu wanajua nakwambia we sema nikuunganishe nao upate jiko utokane na michuzi upikiwe "thuzi"
 
Hapo ni Ramadhani mpka Ramadhan, mwaka wa sita huu bado nipo nao tu..tangia 2015 unafikiria mchezo wewe mtu kila msimu ukifika anawaza kuja kuzuru maeneo yako tu kw ajili ya "vithamuthamu"
Kuna watu wanajua nakwambia we sema nikuunganishe nao upate jiko utokane na michuzi upikie "thuzi"
Itabidi! 😂 😂 😂
 
Station iko jangwani
Umekuja kivingine
Wakiiweka mjini kati watu watakulia wapi, acha boda boda na matatu kujipatia riziki zao, mji utapanukaje km kila kitu utachomeka mjini kati tu..
We kweli bwege hata hujui masuala ya uchumi yanavyoendeshwa


We unafikiria mtu akifungua petrol station pembeni hatokula mkwanja, mwngine nae ajenge ka mini market, guest, hoteli, shule, kanisa, msikiti huoni tayari ndio kukua kw mji hko..

Chanzo itatua ni hyo stesheni ndio imechochea zaidi
 
Back
Top Bottom