Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenyan sociallite shakilah
shakilah slayqueen.jpg
 
Hii ni upuzi wa kitoto. Kama mnataka kuona watoto warembo simply ingia Instagram utabasamu hukooo. Lakini wanaume wawili kupishana kati ya TZvsKE wapi kuna warembo zaidi ni upuzi wa kiwango cha wazimu.
Mgeni Karibu JF hapa tunapost tunachotaka taratibu utaelewa🙂
 
View attachment 1859487
Kuwa miss sio uzur mzee, kuna Urembo na Uzuri, hiv ni vitu viwili tofauti .. uzur ni nature Ila Urembo ni kujitengeneza ..mara nyingi mamiss hawazingatiwi kwenye uzur wao ispokua Urembo tu (kujiweka) Ila ukizungumzia uzur Tanzania kuna watu wazuri haswaaa wengi sana kuliko nchi yoyote Africa mashariki.. kuanzia sura zao, maumbo makubwa na kuvaa vizur pia
Hawa hajawahi fika salon,NI WAZURI NA WAREMBO 😍🤩 WA OROMO/BORANA WA KENYA!NATURAL BEAUTY🥰😍🤩👌. 🇰🇪
Screenshot_20210719-114643.png
Screenshot_20210719-114808.png
Screenshot_20210719-115532.png
 
Hii ni upuzi wa kitoto. Kama mnataka kuona watoto warembo simply ingia Instagram utabasamu hukooo. Lakini wanaume wawili kupishana kati ya TZvsKE wapi kuna warembo zaidi ni upuzi wa kiwango cha wazimu.
kila siku ina mada yake mzee
 
Hiwezi nipangia jinsi ya kuandika, we mwnywe ilikua hujui[emoji1787][emoji1787]
Nirudi juu sai nikuletee ujinga wako, we ilikua hujui kitu kuhusu neno geuka we unachokijua zaidi ni "jeuka"

Sasa nilipoanza mimi kuleta ule mfano sasa mwenzako kakimbia google haraka kufikiri km labda nimekosea ndio akaenda kukutana na vitu hko hata hakuvielewa akaamua a copy paste tu..

Alafu swali langu limekua gumu kweli,
Geuka na geuzia ni visawe[emoji1787][emoji1787]
Niambie maana ya jeuzia kwanza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210717-203540.jpg
 
Jamani mbona mmeshift mada ya mjadala maana mada hapa ilikuwa Reli ya Tz na Kunya wakaanza kupotosha mada na kupost picha za wanawake turudi kwenye mada ya msingi SGR
Hawataki, wanapambana kwa nguvu zote kubadili mada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
FACTS is what matters,TZ HAMNA KITU [emoji1787][emoji23][emoji28]NO BRAIN [emoji3447] NO BEAUTY.KENYA 1 EARTH TITLE[emoji7][emoji2956],Au una wikipidia yako[emoji23][emoji2]?UTAJUA HAMJUI![emoji22][emoji107][emoji2960]View attachment 1859414View attachment 1859415View attachment 1859416View attachment 1859419
Unaleta taji lisilo julikana, eti miss earth analijua nani, alafu wameandika assumed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyu hapa miss world Africa 2005, the most popular beauty competition in the world [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

image_downloader_1626608068139.jpg
image_downloader_1626608006812.jpg
image_downloader_1626608012742.jpg
 
Umesema tayari mkuu. Maneno ya kupost picha za watu umeokota mtandaoni kisha unatinga nazo na hujuani nao ni [emoji90][emoji90]
Kweli kabisa, si ajabu mtu mwnywe unampost hku lkn ile siku utakutana nae anakuona km shombo vile[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti yard ya jeuza [emoji23][emoji23][emoji23] alaf eti na yeye anajua Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23] me nimemwambia ntamfundisha Kiswahili bure sitaki ada yake, anakaza fuvu ..
Huyo anarekebisha ushamba wake kwa gharama zetu, alikuwa hajui kama EMU hazigeuzi bali ikifika kile kichwa cha mbele kinazimwa kinawashwa cha nyuma zen safari inaendelea, angalia swali lake hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210717-203540.jpg
 
Unaleta taji lisilo julikana, eti miss earth analijua nani, alafu wameandika assumed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyu hapa miss world Africa 2005, the most popular beauty competition in the world [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 1859541View attachment 1859542View attachment 1859544
Hii wakenya walibeba mzee
 
Huyo anarekebisha ushamba wake kwa gharama zetu, alikuwa hajui kama EMU hazigeuzi bali ikifika kile kichwa cha mbele kinazimwa kinawashwa cha nyuma zen safari inaendelea, angalia swali lake hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1859557
Endelea kutafuta yard kw tochi mzee, siku ukipata unitag

Wacha ushamba, siku hizi geuza na geuzia ni sawa sio[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom